Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Mpaka sasa Samsung ndio watengenezaji pekee wa simu janja za Android waliofanya Android 12 ipatikane. Soma makala hii kufahamu zaidi

https://zcu.io/HbQw
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu jinsi ya kuongeza RAM mwenyewe katika simu za Infinix Note 11.

https://zcu.io/pvXJ
INCREDIBLE VEHICLES THAT YOU HAVEN'T SEEN
https://www.youtube.com/watch?v=nwcWCqjd5lw
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

RUGER | MAMBO 10 USIYOFAHAMU
#Ruger #Dior
Ruger, msanii mpya ya Nigeria mwenye sound ya kipekee ya Afro-dancehall, ni msanii ambae kwa hapa Tanzania tangu mwezi uliopita amekuwa akitafutwa sana hasa ulwe wimbo wake mpya wa Dior

0:00​ | Introduction
0:58​ | Historia ya Ruger
1:40​ | Msoto wa maisha
2:22​ | Kuvumbuliwa mtandaoni na D'Prince
3:13 | Jonzing World Ruger na Rema
3:49 | Jina la 'Ruger' lilikujaje?
4:22​ | Kutanga tanga bila mafanikio kama Rema
4:51​ | Ruger ana upofu wa jicho moja?
5:41 | Ruger vs Rema
6:31​ | Ruger Bounce vs Rema Bounce
7:27​ | Mziki wa Ruger ni sawa na Patoranking
TeknoKona (Facebook)

Chukua tahadhari kwa kuzima swichi za umeme unaposafiri ili kulinda vifaa vyako vya kielektroniki. Tembelea tovuti vetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hakikisha unazifuta akaunti zote za mtandaoni ulizoacha kutumia ili kulinda usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
App Lock Lite.apk
7.6 MB
App Lock Lite.apk

uploaded by 1381922510
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Matumizi sahihi na stahiki ya TEHAMA yatatuwezesha kufikia azma ya Maendeleo endelevu; tuitumie TEHAMA kuchagiza ukuaji wa uchumi wetu.

#2022yakidijitali