Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kuongeza Kasi kwenye kompyuta au laptop yako || how to increase Speed on computer| laptop
unaona kompyuta au laptop yako ufanyaji kazi wake umepungua basi tumia njia hii nzuri na salama kwako

Kuna wakati unakuta kompyuta yako ufanyaji kazi wake umebadilika yani ilikua speed tu ila ghafla imekua nzito usijal tizama hiyo video itakusaidia kuondoa tatizo lako sasa.

Vipi umefanikiwa au lah tuachie maoni yako sasa ?

subscribe for more videos 👇
https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️

social media zetu 👇 :
1. Tik tok 🔻 https://www.tiktok.com/@UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

2. Instagram🔻 https://instagram.com/bongotech255

3. YouTube🔻 https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

4. Facebook 🔻 https://Facebook.com/bongotech255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI NDEGE HAZIRUHUSIWI KUPAA JUU YA NYUMBA YA MESSI?
Je wajua kuwa ndege haziruhusiwi kuruka juu ya nyumba ya Messi inayogharimu shilingi bilioni 16 huko Gava ambayo iko kilomita 10 tu magharibi mwa airport ya Barcelona?..Usisahau kutazama ile episode ya Mambo 10 kuhusu Lionel Messi (Historia ya Messi)