Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Ziara ya Wanafunzi wa Kidato cha Tano kutoka Shule ya Sekondari Jangwani iliyopo Jijini Dar es Salaam kutembelea Makumbusho ya Mawasiliano iliyopo Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo tarehe 05/10/2021. Kufuatia maadhimisho ya Wiki ya Posta Duniani, wanafunzi hao walipata wasaa wa kujionea mabadiliko ya teknolojia kwenye utoaji wa huduma za Posta kuanzia zama za kale hadi sasa.

KILICHOMKUTA Mark Zuckerberg FB na WhatsApp kutokuwa hewani Insta na Messanger | HASARA tujifunze โ NK- Computer Training
https://youtu.be/vGYg7EQt_wM 5:43
https://youtu.be/vGYg7EQt_wM 5:43
YouTube
KILICHOMKUTA Mark Zuckerberg FB na WhatsApp kutokuwa hewani Insta na Messanger | HASARA tujifunze
KILICHOMKUTA Mark Zuckerberg jana #Facebook na #Whatsapp kutokuwa hewani #Instagram na #Messanger | NI HASARA njoo tujifunze pamoja.
Link ya video hii: https://youtu.be/vGYg7EQt_wM
---------------------------------------------------------
Kujiunga na koziโฆ
Link ya video hii: https://youtu.be/vGYg7EQt_wM
---------------------------------------------------------
Kujiunga na koziโฆ
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Tufuatilie kwa pamoja uzinduzi wa Wiki ya Posta Duniani mubashara kutoka Dodoma kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kwa kufungua link hii ๐๐
https://youtu.be/ioQe1YqDgI4

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU RYAN REYNOLDS (DEADPOOL) โ Newzfid
https://youtu.be/JeEprPZVhUQ 8:20
https://youtu.be/JeEprPZVhUQ 8:20
YouTube
MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU RYAN REYNOLDS (DEADPOOL)
Raia kutoka Canada Ryan Reynolds aka Deadpool ni mmoja wa nyota wakubwa wa Hollywood leo hii, lakini safari yake hadi kuja kufanikiwa haikua rahisi..
0:00โ | Introduction
0:55 | Historia ya Deadpool (Ryan Reynolds)
1:40โ | Ryan Reynolds alikosa sapoti yaโฆ
0:00โ | Introduction
0:55 | Historia ya Deadpool (Ryan Reynolds)
1:40โ | Ryan Reynolds alikosa sapoti yaโฆ
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) ametembelea banda la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwenye shughuli za uzinduzi wa Wiki ya Posta Duniani zilizoenda sambamba na uzinduzi wa duka la posta mtandaoni na maonesho ya huduma za posta, leo tarehe 06/10/2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma. Shughuli hizo za uzinduzi zimehudhuriwa pia na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari.
Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Posta Duniani ni tarehe 9 Oktoba ambayo ni Siku ya Posta Duniani.

HAJIMURON255๐ (Instagram)
๐ก๐ท๐ถ๐ฎ ๐ฟ๐ฎ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ธ๐๐๐ฎ ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ป๐๐๐ฎ๐ด๐ฟ๐ฎ๐บ
Ni kitu kizuri na chenye furaha sana kuwa na likes nyingi pale unapokuwa unatumia mitandao ya kijamii. Haina maana kama uta post picha yako nzuri lakini hakuna mtu yeyote anaye itazama.
Follow unfollow? NO
Najua ulivyoona nimekwambia ntakuonyesha namna ya kuongeza followers tayari ukajua nitakuelekeza kutumia njia ya Follow Unfollow ambayo ni maarufu lakini ni ngumu sana kufanikiwa.
We tumia njia hizi utafanikiwa๐
1๏ธโฃ pendezesha akaunti yako
Kabla ujawaza kuhusu utapata wapi followers wengi ebu fanya kupendezesha akaunti yako. Unajua akuna jambo zuri kama mtu akingia kwenye page yako alafu akakuta Ina mpangilio mzuri na WA kuvutia hivi unafikiri hatachaje kuku follow ? ๐ณ
hakikisha umependezesha kuanzia bio , image zako , caption...
View original post

Kufuta message zisizofutika WhatsApp | Delete old whatsApp messages โ NK- Computer Training
https://youtu.be/lagbDARV2cQ 6:44
https://youtu.be/lagbDARV2cQ 6:44
YouTube
Kufuta message zisizofutika WhatsApp | Delete old whatsApp messages
#Kufuta #message zisizofutika #WhatsApp | #Delete #old whatsApp messages
Link ya video hii: https://youtu.be/lagbDARV2cQ
---------------------------------------------------------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasilianaโฆ

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority ะฝะฐ Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
BAMBO LA MTAA ALHAMISI HII๐ฅ๐ฅ
Usikose kufuatilia kipindi cha Bambo la Mtaa kupitia chaneli ya Clouds TV ifikapo saa mbili na nusu (2:30) usikuโฆ

NDEGE YENYE KASI KULIZO ZOTE DUNIANI โ Newzfid
https://youtu.be/wA_fXxeVhyA 4:38
https://youtu.be/wA_fXxeVhyA 4:38
YouTube
NDEGE YENYE KASI KULIZO ZOTE DUNIANI
Ukigoogle ndege yenye kasi zaidi ulimwenguni, utapata majibu mchanganyiko, zaidi watakutajia ndege za kimarekani North American X-15 au Lockheed SR-71 Blackbird..Dont worry majina hayo yasikupe shida, ukitazama mpaka mwisho utatoka na utaalamu juu ya ndegeโฆ
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshiriki katika Mkutano wa pili wa Bodi ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) uliofunguliwa rasmi tarehe 07/10/2021 na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC Jijini Arusha. TCRA imeshiriki kama mdau kwa kuweka banda la huduma kwa mteja na kutoa huduma kwa wadau waliofika kwenye viwanja vya AICC. Mkutano wa AQRB umehitimishwa rasmi leo tarehe 08/09/2021 na katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athuman Kihamia.