Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilikutana na Wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) kwa lengo la kujadili uboreshaji wa huduma za mawasiliano kwa watu wenye ulemavu. Mkutano huo ulifanyika Makao Makuu ya TCRA Jijini Dar es Salaam jana Tarehe 22/9/2021.

HAJIMURON255π (Instagram)
Njia rahisi ya kulinda simu yako
Nani anaweza kuishi bila smartphone siku hizi ? Wapo watakaosema yes we can & wengine watasema hapana hatuwezi kabisa .
Ila kiuwalisia smartphone siku hizi inazingatiwa kama hitaji muhimu la mwanadamu Katika maisha yake Kwa kizazi Cha digitali. Kadri maisha yanavyozidi kwenda ndivyo tunaona watu wakitumia mamia ya mapesa kumiliki simu za mkononi.
Ila kama sio mtu mwenye uwezo huo huo basi simu yako hiyo hiyo Moja inatosha kuhilinda na kuifanya kuwa imara kwako Kwa kutumia app Bora hizi hili kulinda simu yako.
1οΈβ£ Clean master
Hii ni app nzuri sana ya kuweza kukusaidia kusafisha simu yako na kuifanya kuwa kasi sana. Huwexa kufanya mambo mengi kwenye simu yako kama kuhisafisha , kuondoa , data za zamani , kuzuia app zinazo tumia data bila we kujua na mambo mengineyo.
2οΈβ£ Greenify
Hii n...
View original post