Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.6K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi - Zanzibar Ndugu Amour Hamil atazindua kituo cha kompyuta kwa umma (Telecentre) katika Shule ya Sekondari Tumbatu Siku ya Alhamisi tarehe 23/9/2021 kuanzia Saa Tatu kamili Asubuhi. Uzinduzi wa kituo hicho unaratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐๐ฅ๐š๐ฒ ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ž ๐ง๐š ๐€๐ฉ๐ฉ ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ž ๐ก๐š๐ณ๐ข๐ญ๐š๐ค๐ข ๐ค๐ฎ๐๐จ๐ฐ๐ง๐ฅ๐จ๐š๐ ๐š๐ฉ๐ฉ๐ฌ ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ž

Hivi umeshawahi kutokewa na hile hali ya kutaka kupakua kitu kutoka kwenye soko la app store au play store lakini inazingua Yani bando unalo Hila vitu havitaki ?

Hili ni Moja ya jambo linalowaumiza Sana watu wengi haswa watumiaji wa simu za Samsung , infinix , Oppo , apple na nk.

Wakati unataka kudownload app play store au app stores basi mara download pending , can't download au app inafika asilimia tisini alafu inakataa nini Cha kufanya ๐Ÿ‘‡

โ–ซ๏ธ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ

Njia rahisi ya kuweza kuondoa hili tatizo ni kuweza kuingia setting kwenye simu yako Kisha app alafu tafuta app ya play store Kisha Clear data & cache alafu force stopped malizia na kuweza ku restart simu yako [ Zima & washa sim...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Bambo la Mtaa. | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Unakosaje Bambo la Mtaa Alhamisi hii??

Ni kuanzia saa Mbili na Nusu Usiku (2:30) kupitia Chaneli ya Clouds Tv.

Usikose!!