Control simu yako kwa Computer kupitia USB | Mirror your phone via USB (Windows Mac Linux) — NK- Computer Training
https://youtu.be/6utHFKlw34Y 11:09
https://youtu.be/6utHFKlw34Y 11:09
YouTube
Control simu yako kwa Computer kupitia USB | Mirror your phone via USB (Windows Mac Linux)
Control simu yako kwa Computer kupitia USB | Mirror your phone via USB (Windows Mac Linux) unaweza kutumia Keyboard ya computer kuandika katik simu yako, kiurahisi kabisa.
Scrcpy download : https://github.com/Genymobile/scrcpy
Kama hujui jinsi ya kufungua…

umepoteza simu au hujui umeweka wapi fanya hivi @Bongotech255 — Bongotech255
https://youtu.be/6baw_QI9eXw 1:33
https://youtu.be/6baw_QI9eXw 1:33
YouTube
umepoteza simu au hujui umeweka wapi fanya hivi @Bongotech255
ikiwa umepoteza simu yako au hujui umeweka wapi basi tumia njia hii kuweza kuirudisha Kwa njia rahisi sana 👇
usisahau ku subscribe Kwa maujanja mbalimbali zaidi
https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA
tembelea mitandao yetu ya kijamii 👇
…

Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi - Zanzibar Ndugu Amour Hamil atazindua kituo cha kompyuta kwa umma (Telecentre) katika Shule ya Sekondari Tumbatu Siku ya Alhamisi tarehe 23/9/2021 kuanzia Saa Tatu kamili Asubuhi. Uzinduzi wa kituo hicho unaratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

HAJIMURON255🌏 (Instagram)
𝐏𝐥𝐚𝐲 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐞 𝐧𝐚 𝐀𝐩𝐩 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐞 𝐡𝐚𝐳𝐢𝐭𝐚𝐤𝐢 𝐤𝐮𝐝𝐨𝐰𝐧𝐥𝐨𝐚𝐝 𝐚𝐩𝐩𝐬 𝐲𝐨𝐲𝐨𝐭𝐞
Hivi umeshawahi kutokewa na hile hali ya kutaka kupakua kitu kutoka kwenye soko la app store au play store lakini inazingua Yani bando unalo Hila vitu havitaki ?
Hili ni Moja ya jambo linalowaumiza Sana watu wengi haswa watumiaji wa simu za Samsung , infinix , Oppo , apple na nk.
Wakati unataka kudownload app play store au app stores basi mara download pending , can't download au app inafika asilimia tisini alafu inakataa nini Cha kufanya 👇
▫️𝗞𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱
Njia rahisi ya kuweza kuondoa hili tatizo ni kuweza kuingia setting kwenye simu yako Kisha app alafu tafuta app ya play store Kisha Clear data & cache alafu force stopped malizia na kuweza ku restart simu yako [ Zima & washa sim...
View original post