Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Katika zama za Mawasiliano ya Jadi, pembe lilikuwa likipulizwa kwa lengo la kuita watu ili kufanya jambo au kutoa taarifa fulani.

Karibu utembelee Makumbusho ya Mawasiliano iliyopo Makao Makuu ya TCRA Buree kabisa kwa Siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa Tisa Mchana. “Vya Kale ni Dhahabu” #tutumiemawasilianokujileteamaendeleo
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Karibu utembelee Makumbusho ya Mawasiliano iliyopo Makao Makuu ya TCRA Buree kabisa kwa Siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa Tisa Mchana.

“Vya Kale ni Dhahabu” #tutumiemawasilianokujileteamaendeleo