Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekutana na Watoa Huduma wa Mawasiliano ya Simu, Intaneti na Maudhui ya Utangazaji kujadili jinsi Mawasiliano yanavyoweza kutumika pindi yanapotokea Majanga nchini. Mkutano umefanyika leo Tarehe 31 Agosti, 2021 katika Makao Makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam.

Mawasiliano baina ya Mteja wa huduma za Mawasiliano ya Simu na Mtoa huduma wake ni kupitia namba 100 Tuu!
#kamasionamba100potezeaa!

Katibu Mkuu Mtendaji wa Umoja wa Posta Afrika, (PAPU) anayemaliza muda wake Ndugu Younouss Djibrine ( kushoto) akikabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mtendaji Mpya Ndugu Sifundo Chief Moyo kwenye Ofisi za PAPU Jijini Arusha, leo Tarehe 1 Septemba 2021. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Dkt. Faustine Ndugulile (wa tatu kutoka kulia), Waziri wa TEHAMA na Huduma za Posta Zimbabwe na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania( TCRA) Dkt. Emmanuel Manasseh (wa kwanza kushoto).

HAJIMURON255π (Instagram)
Fahamu app Bora za kujifunza kupika kwenye simu
Unajua Simu zimeleta ushindi mkubwa Sana kwenye ulimwengu wa teknolojia japo watu wengi wanazichukulia poa Sana tu. Hivi unajua kuwa unaweza kujifunza kupika kitu chochote kile kupitia simu yako.
Unajua hata Mimi nimejifunza kupika vyakula kadhaa kupitia simu kama vile kutengeneza burgers π , pizzaπ, eggychop , ugali pilau nk.π₯ kwaiyo Niko vizuri kwenye Hilo π suala usinichukulie poa......!!!
Sasa Leo nakuletea njia za kipeke Sana za kujifunza kupika vyakula tofauti tofauti kupitia simu yako ππ
1οΈβ£ cookpad
Hii ni moja ya app nzuri Sana ya kujifunza kupika kupitia simu yako kwani utajifunza kupika vitu mbalimbali π₯ , kwani utaweza kutafuta chakula Gani unataka kupika na π na kuanza kazi kupitia simu yako.watu wengi wanashare vyakula vyao tofauti kupitia app hii hivyo i...
View original post

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU SIMI β Newzfid
https://youtu.be/MdnheXrwzyE 8:40
https://youtu.be/MdnheXrwzyE 8:40
YouTube
MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU SIMI
Kama ni mara yako ya kwanza kutazama Newzfid karibu sana,vile vile usisahau kulike video hii na kusubscribe, kwa kufanya hivyo utakuwa umeniunga mkono. Asante
FOLLOW US πΆ
Instagram:https://www.instagram.com/newzfid/
Facebook: https://www.facebook.com/newzfidmagazine/
FOLLOW US πΆ
Instagram:https://www.instagram.com/newzfid/
Facebook: https://www.facebook.com/newzfidmagazine/
HAJIMURON255π (Instagram)
Jinsi ya kukuza akaunti yako Instagram
Unatumia instagram ? Of course naelewa kama unatumia instagram. Instagram Ina zaidi ya watumiaji bilioni 1.2. Duniani kote hivyo kufanya kuwa na asilimia 15% ya ongezeko la watumiaji kwenye Dunia.
Achana na mambo ya kununua akaunti za watu sio nzuri endelea kufuatilia page yetu nitawaeleza kwanini usinunue akaunti mitandaoni.
ngoja Leo niwaeleze njia rahisi ya kukuza brand yako kupitia instagram njia hii ni nzuri Sana π
1οΈβ£ Username
Hii ni kitu ni Muhimu Sana kama unataka akaunti yako ikue faster unajua tafuta username ambayo itamvutia mtu na kufanya atembele page yako hivyo epuka kutumia majina ambayo magumu pia π€ sio rafiki Kwa watu.
2οΈβ£ Wajue watu wako ( followers )
Katika ulimwengu wa masuala ya mitandao ya kijamii ni Muhimu kuwajua watu wako hii itakufanya kupata watu wapya K...