HAJIMURON255🌏 (Instagram)
𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗻𝗷𝗶𝗮 𝗿𝗮𝗵𝗶𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗱𝗼𝘄𝗻𝗹𝗼𝗮𝗱 𝘃𝗶𝗱𝗲𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘁𝗶𝗸 𝘁𝗼𝗸 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼
Najua watu wengi wanatumia sana tik tok haswa katika masuala ya kuburudisha kuelimisha pia huwa watu wanavutiwa sana na video za dakika chache zenye kusisimua.
Tik tok wameweza kuwarahishia watumiaji wake kwa kusave video zake kwenye simu ila changamoto video hizo huja na nembo yao 😔 kitu ambacho baadh ya watu hawapendi kukiona.
Sasa leo nimekuletea njia rahisi ya kuweza kudownload video za tik tok bila kuwa na nembo yake (watermark)
unachotakiwa ni kuingia play store na kupakua app inayoitwa tik tok video download kwenye simu yako baada ya hapo utaweza kupakua video kwenye tik tok bila kuwa na nembo yake.
Pia unaweza kutizama video yake kupitia kwenye bio kupitia page yetu @bongotech255 au search #youtube #bongotec... ...