Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge

#Galaxya2core #Tsh 190,000
Sifa za Samsung Galaxy A2 Core
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa Kioo – Inch 5.0 chenye teknolojia ya HD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 540 x 960 pixels, na uwiano wa 116:9 ratio (~220 ppi density).
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mfumo wa Uendeshaji – Android 9.0 (Pie Go)
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Processor – Quad-core 1.6 GHz Cortex-A53.
Aina ya Processor (Chipset) – Exynos 7870 Quad Chipset.
Uwezo wa GPU – Mali-T830.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa Ndani – GB 16 na uwezo wa kuongezewa na memory card ya hadi GB 256.
Ukubwa wa RAM – RAM ya GB 1
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 5
Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Megapixel 5 yenye HDR, panorama na LED flash.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Battery – Battery Inayotoka ya Li-Ion 2600 mAh battery.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Viunganishi – Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspot, Bluetooth 4.2, A2DP pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, BDS. micro USB 2.0, USB On-The-Go.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), Inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Aina za Sensor – Inakuja na sensor za Accelerometer na proximity.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
πŸ“žπŸ“žkwa mawasiliano zaidi tupigieπŸ“žπŸ“ž
+255672988464
@chamomobile
#GalaxyA30a #galaxya01 #galaxya2core #samaumg #android
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
#galaxya51 #Tsh 700,000 β™₯️...

#galaxya51 #Tsh 700,000 β™₯️
Galaxy A51, simu hii inakuja na kioo kikubwa cha inch 6.5 kilicho tengenezwa kwa teknojia ya Infinity-O Super AMOLED display, kioo ambacho pia kinakuja na resolution ya FullHD+. 🌻🌻🌻🌻
Juu ya kioo hicho kuna kamera ya sefie ya Megapixel 32, pamoja na sehemu ya Fingerprint ambayo inapatikana chini ya kioo.
🌻🌻🌻🌻
Kwa nyuma Galaxy A51 inakuja na mtindo mpya wa kamera ambao haujawahi kutumiwa na kampuni ya Samsung, mtindo huo umebeba kamera nne ambazo zinakuja na uwezo wa Megapixel 48 kwa kamera kuu, Megapixel 12, pamoja na Megapixel 5 kwa kamera nyingine mbili zilizobakia. Kamera hizo zinakuja na sehemu mbalimbali kama vile
Smart Switch, Live Focus, na Super Steady Video, huku ikiwa na uwezo wa kurekodi video hadi za 1080p@30fps. 🌻🌻🌻🌻
Kwa upande wa sifa za ndani, Galaxy A51 inaendeshwa na processor ya Exynos 9611 yenye speed ya CPU hadi Octa-core (4Γ—2.3 GHz Cortex-A73 & 4Γ—1.7 GHz Cortex-A53). Processor hii inasaidiwa na RAM ya GB 4 pamoja na uhifadhi wa ndani wa GB 128,
uhifadhi huu unaweza kuongezwa kwa kutumia MicroSD Card yenye uwezo wa hadi TB 1.
🌻🌻🌻🌻
Kwa upande wa battery simu hii inaendeshwa na battery yenye uwezo wa 4,000 mAh, huku ikiwa na uwezo wa kudumua na chaji hadi siku moja nzima bila kuchaji kabisa kutokana na matumizi yako.
🌻🌻🌻🌻 Vilevile simu hii inakuja na teknolojia ya Fast battery charging ya hadi W15 hii ikiwa na maana unaweza kupata asilimia 50 ya chaji kwa muda wa dakika 20 tu.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Kujipatia simu hii wasiliana nasi kupitia namba
πŸ“ž 0672988464
Whatsapp & calling

#samsunga10s #samaumg #samsungtz #samsunga01 #galaxya50 #GalaxyA30s ##galaxya50s
chamomobile - Instagram Bridge
#galaxya51 #Tsh 700,000 β™₯️...

#galaxya51 #Tsh 700,000 β™₯️
Galaxy A51, simu hii inakuja na kioo kikubwa cha inch 6.5 kilicho tengenezwa kwa teknojia ya Infinity-O Super AMOLED display, kioo ambacho pia kinakuja na resolution ya FullHD+. 🌻🌻🌻🌻
Juu ya kioo hicho kuna kamera ya sefie ya Megapixel 32, pamoja na sehemu ya Fingerprint ambayo inapatikana chini ya kioo🌻🌻🌻🌻
Kwa nyuma Galaxy A51 inakuja na mtindo mpya wa kamera ambao haujawahi kutumiwa na kampuni ya Samsung, mtindo huo umebeba kamera nne ambazo zinakuja na uwezo wa Megapixel 48 kwa kamera kuu, Megapixel 12, pamoja na Megapixel 5 kwa kamera nyingine mbili zilizobakia. Kamera hizo zinakuja na sehemu mbalimbali kama vile
Smart Switch, Live Focus, na Super Steady Video, huku ikiwa na uwezo wa kurekodi video hadi za 1080p@30fps. 🌻🌻🌻🌻
Kwa upande wa sifa za ndani, Galaxy A51 inaendeshwa na processor ya Exynos 9611 yenye speed ya CPU hadi Octa-core (4Γ—2.3 GHz Cortex-A73 & 4Γ—1.7 GHz Cortex-A53). Processor hii inasaidiwa na RAM ya GB 4 pamoja na uhifadhi wa ndani wa GB 128,
uhifadhi huu unaweza kuongezwa kwa kutumia MicroSD Card yenye uwezo wa hadi TB 1🌻🌻🌻🌻
Kwa upande wa battery simu hii inaendeshwa na battery yenye uwezo wa 4,000 mAh, huku ikiwa na uwezo wa kudumua na chaji hadi siku moja nzima bila kuchaji kabisa kutokana na matumizi yako🌻🌻🌻🌻 Vilevile simu hii inakuja na teknolojia ya Fast battery charging ya hadi W15 hii ikiwa na maana unaweza kupata asilimia 50 ya chaji kwa muda wa dakika 20 tuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Kujipatia simu hii wasiliana nasi kupitia namba
πŸ“ž 0672988464
Whatsapp & calling

#samsunga10s #samaumg #samsungtz #samsunga01 #galaxya50 #GalaxyA30s ##galaxya50s"