Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
kampuni ya Samsung ilizindua simu za aina mbili huko nchini Vietnam, Galaxy A51, pamoja na Galaxy A71 ambayo ningependa...
kampuni ya Samsung ilizindua simu za aina mbili huko nchini Vietnam, Galaxy A51, pamoja na Galaxy A71 ambayo ningependa uhifahamu leo. Ingawa Galaxy A51 na Galaxy A71 zinafanana kwa muonekano, lakini kwa upande wa sifa simu hizi zina utofauti kidogo, hasa kwa upande wa bei, kamera, ukubwa wa kioo pamoja na sifa nyingine za ndani.
Kama unavyoweza kuona kwenye picha hapo juu kwa ku slide picha kulia, Galaxy A71 inafanana sana na Galaxy A51 lakini tofauti yake kubwa ni kioo ambacho kwenye simu hii kimeongezwa ukubwa kidogo hadi inch 6.7. Kioo hicho kimetengenezwa kwa teknolojia hiyo hiyo kama Galaxy A51.
Kingine cha utofauti kwenye simu hii ni pamoja na kamera za nyuma ambazo zinakuja na uwezo mkubwa zaidi ya A51, Simu hii inakuja na kamera nne kwa nyuma huku kamera kuu ikiwa na Megapixel 64 badala ya 48 ambayo ipo kwenye Galaxy A51. Kamera nyingine zinakuja na Megapixel sawa na A51 yani Megapixel 12 huku nyingine mbili zikiwa na Megapixel 5 kila moja.
Tofauti nyingine ya simu hii na A51 ni RAM, Galaxy A71 inakuja na machaguo mawili yaani simu yenye RAM ya GB 6 wakati A51 inakuja na 4GB RAM, pia vilevile simu hii inakuja na processor ya tofauti na A51 ambapo hii inakuja na processor ya Qualcomm Snapdragon 730 ambayo inakuja na speed ya CPU ya hadi Octa-core (2Γ2.2 GHz Kryo 470 Gold & 6Γ1.8 GHz Kryo 470 Silver).
Mbali na hayo Galaxy A71 pia inakuja na battery kubwa zaidi ya 4500 mAh battery uku ikiwa na teknolojia ya kuchaji battery kwa haraka ya Fast Charging ya Watt 25, hii ikiwa na uwezo wa kujaza simu yako chaji hadi asilimia 50 kwa muda wa dakika 30.
KARIBU CHAMOMOBILE π₯
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
KUJIPATIA SIMU HII KWA TSH 950,000.
πππππππ
0672988464 kwa mawasiliano zaidi
#GalaxyA30s #galaxya51 #galaxya71

Instagram
chamomobile
kampuni ya Samsung ilizindua simu za aina mbili huko nchini Vietnam, Galaxy A51, pamoja na Galaxy A71 ambayo ningependa uhifahamu leo. Ingawa Galaxy A51 na Galaxy A71 zinafanana kwa muonekano, lakini kwa upande wa sifa simu hizi zina utofauti kidogo, hasaβ¦
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
#galaxya51 #Tsh 700,000 β₯οΈ...
#galaxya51 #Tsh 700,000 β₯οΈ
Galaxy A51, simu hii inakuja na kioo kikubwa cha inch 6.5 kilicho tengenezwa kwa teknojia ya Infinity-O Super AMOLED display, kioo ambacho pia kinakuja na resolution ya FullHD+. π»π»π»π»
Juu ya kioo hicho kuna kamera ya sefie ya Megapixel 32, pamoja na sehemu ya Fingerprint ambayo inapatikana chini ya kioo.
π»π»π»π»
Kwa nyuma Galaxy A51 inakuja na mtindo mpya wa kamera ambao haujawahi kutumiwa na kampuni ya Samsung, mtindo huo umebeba kamera nne ambazo zinakuja na uwezo wa Megapixel 48 kwa kamera kuu, Megapixel 12, pamoja na Megapixel 5 kwa kamera nyingine mbili zilizobakia. Kamera hizo zinakuja na sehemu mbalimbali kama vile
Smart Switch, Live Focus, na Super Steady Video, huku ikiwa na uwezo wa kurekodi video hadi za 1080p@30fps. π»π»π»π»
Kwa upande wa sifa za ndani, Galaxy A51 inaendeshwa na processor ya Exynos 9611 yenye speed ya CPU hadi Octa-core (4Γ2.3 GHz Cortex-A73 & 4Γ1.7 GHz Cortex-A53). Processor hii inasaidiwa na RAM ya GB 4 pamoja na uhifadhi wa ndani wa GB 128,
uhifadhi huu unaweza kuongezwa kwa kutumia MicroSD Card yenye uwezo wa hadi TB 1.
π»π»π»π»
Kwa upande wa battery simu hii inaendeshwa na battery yenye uwezo wa 4,000 mAh, huku ikiwa na uwezo wa kudumua na chaji hadi siku moja nzima bila kuchaji kabisa kutokana na matumizi yako.
π»π»π»π» Vilevile simu hii inakuja na teknolojia ya Fast battery charging ya hadi W15 hii ikiwa na maana unaweza kupata asilimia 50 ya chaji kwa muda wa dakika 20 tu.
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Kujipatia simu hii wasiliana nasi kupitia namba
π 0672988464
Whatsapp & calling
#samsunga10s #samaumg #samsungtz #samsunga01 #galaxya50 #GalaxyA30s ##galaxya50s

#galaxya51 #Tsh 700,000 β₯οΈ Galaxy A51, simu hii inakuja na kioo kikubwa cha inch 6.5 kilicho tengenezwa kwa teknojia ya Infinity-O Super AMOLED display, kioo ambacho pia kinakuja na resolution ya FullHD+. π»π»π»π» Juu ya kioo hicho kuna kamera ya sefie ya Megapixelβ¦
chamomobile - Instagram Bridge
#galaxya51 #Tsh 700,000 β₯οΈ...
#galaxya51 #Tsh 700,000 β₯οΈ
Galaxy A51, simu hii inakuja na kioo kikubwa cha inch 6.5 kilicho tengenezwa kwa teknojia ya Infinity-O Super AMOLED display, kioo ambacho pia kinakuja na resolution ya FullHD+. π»π»π»π»
Juu ya kioo hicho kuna kamera ya sefie ya Megapixel 32, pamoja na sehemu ya Fingerprint ambayo inapatikana chini ya kiooπ»π»π»π»
Kwa nyuma Galaxy A51 inakuja na mtindo mpya wa kamera ambao haujawahi kutumiwa na kampuni ya Samsung, mtindo huo umebeba kamera nne ambazo zinakuja na uwezo wa Megapixel 48 kwa kamera kuu, Megapixel 12, pamoja na Megapixel 5 kwa kamera nyingine mbili zilizobakia. Kamera hizo zinakuja na sehemu mbalimbali kama vile
Smart Switch, Live Focus, na Super Steady Video, huku ikiwa na uwezo wa kurekodi video hadi za 1080p@30fps. π»π»π»π»
Kwa upande wa sifa za ndani, Galaxy A51 inaendeshwa na processor ya Exynos 9611 yenye speed ya CPU hadi Octa-core (4Γ2.3 GHz Cortex-A73 & 4Γ1.7 GHz Cortex-A53). Processor hii inasaidiwa na RAM ya GB 4 pamoja na uhifadhi wa ndani wa GB 128,
uhifadhi huu unaweza kuongezwa kwa kutumia MicroSD Card yenye uwezo wa hadi TB 1π»π»π»π»
Kwa upande wa battery simu hii inaendeshwa na battery yenye uwezo wa 4,000 mAh, huku ikiwa na uwezo wa kudumua na chaji hadi siku moja nzima bila kuchaji kabisa kutokana na matumizi yakoπ»π»π»π» Vilevile simu hii inakuja na teknolojia ya Fast battery charging ya hadi W15 hii ikiwa na maana unaweza kupata asilimia 50 ya chaji kwa muda wa dakika 20 tuπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Kujipatia simu hii wasiliana nasi kupitia namba
π 0672988464
Whatsapp & calling
#samsunga10s #samaumg #samsungtz #samsunga01 #galaxya50 #GalaxyA30s ##galaxya50s"