Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
@chamomobile #Tsh 245,000 #galaxya01...

https://www.instagram.com/p/CATFRnGAy4l/media?size=l

@chamomobile #Tsh 245,000 #galaxya01
๐ŸŒน๐ŸŒน
Sifa za Samsung Galaxy A01
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Ukubwa wa Kioo โ€“ Inch 5.7 chenye teknolojia ya PLS TFT capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1520.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Mfumo wa Uendeshaji โ€“ Android 10.0
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Uwezo wa Processor โ€“ Octa-core (4ร—1.95 GHz Cortex-A53 & 4ร—1.45 GHz Cortex A53)
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Aina ya Processor (Chipset) โ€“ Qualcomm SDM439 Snapdragon 439 (12 nm).
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Uwezo wa GPU โ€“ Adreno 505.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Ukubwa wa Ndani โ€“ GB 16 ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card ya microSDXC.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Ukubwa wa RAM โ€“ GB 2
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Uwezo wa Kamera ya Mbele โ€“ Megapixel 5 yenye f/2.2, 1/5โ€ณ, 1.12ยตm.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Uwezo wa Kamera ya Nyuma โ€“ Ziko kamera mbili kwa nyuma moja ikiwa na Megapixel 13, yenye f/2.2, 28mm (wide), 1/3.1โ€ณ, 1.12ยตm, AF na nyingine ikiwa na Megapixel 2, yenye f/2.4, 1.75ยตm, depth sensor camera. Kamera zote zinasadiwa na Flash ya LED Flash.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Uwezo wa Battery โ€“ Battery isiyotoka ya Li-Ion 3000 mAh.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Viunganishi โ€“ Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bluetooth 4.2, A2DP, LE
na GPS ya A-GPS. USB ya 2.0, Type-C 1.0 reversible connector, USB On-The-Go.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Rangi โ€“ Inakuja kwa rangi za Black, Blue, na Red.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Mengineyo โ€“ Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), Inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Aina za Sensor โ€“ Inakuja na sensor za Accelerometer, proximity.
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
Uwezo wa Mtandao โ€“ 2G, 3G na 4G
๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž 0672988464
#CHAMOMOBILE
#hatuumizani #galaxyaseries #samsungmobile