Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.01K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Kama unapenda simu non active basi sikiliza hii mpaka mwisho..
︎ Teknolojia

Meta itafanya event yake ya Meta Connect - Kesho saa 3 Asubuhi kwa muda wa Afrika Mashariki

Agenda kuu: Itaonyesha miwani zake za AI na mwelekeo wa kampuni hiyo katika maswala ya Akili Bandia na Metaverse
︎ Teknolojia

📲 Simu ambazo sasa zimeanza kupata mfumo mpya wa iOS 26
︎ Teknolojia

🆕 Instagram imekuwa app ya kwanza kuweka toggles na keyboard ya iOS26
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Usiupdate simu yako kwenda ios 26 kabla ya kusikiliza haya kwa makini…
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wapenzi wa Samsung Non Active tumewafikia sasa…
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Kama unaamini kila mtu atatobo kwa njia yake basi usimnyime hii Video Shea kwake pia Tufanikiwe pamoja. 🇹🇿 🇰🇪
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Utofauti wa features ziliopo kwenye iPhone 17 promax na 16 promax Swali ni je utatop up mzawa????
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

iPhone 17 promax unboxing ,,Be ready Hizi Zinaingia dukani Jumamosi Hii stay tunned🔥🔥🔥