This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Hivi unajua kwamba unaweza kubadili muonekano wa simu yako na kuwa vyovyote unavyotaka wewe??

kama unazani umeona basi ujue bado njoo Tanzania Mkoa wa Rukwa kuna maporomoko ya ajabu sana yanaitwa KALAMBO FALLS. hutatamani kurudi. 🇹🇿

Simu za Mkunjo (Foldable Smartphones): Je, Tunazihitaji Kweli?:
https://telegra.ph/Simu-za-Mkunjo-Foldable-Smartphones-Je-Tunazihitaji-Kweli-09-16

Telegraph
Simu za Mkunjo (Foldable Smartphones): Je, Tunazihitaji Kweli?
Kwa Nini Simu za Mkunjo Zinavutia?
〽︎ Teknolojia
Meta itafanya event yake ya Meta Connect - Kesho saa 3 Asubuhi kwa muda wa Afrika Mashariki
Agenda kuu: Itaonyesha miwani zake za AI na mwelekeo wa kampuni hiyo katika maswala ya Akili Bandia na Metaverse