Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.02K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

iPhone 17 Pro Max vs iPhone 17 Air - Sparkling Water FREEZE TEST |
︎ Teknolojia

Mastodon imeweka kipengele kipya cha kudhibiti 'quotes' kwenye posts!

Sasa unaweza kudhibiti nani anayeweza kunukuu posts zako, kuona quote posts, na hata kuondoa post yako kama mtu aki-quote post yako na hautaki atumie post yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Moja ya kitu ambacho huwa kinanishangaza sana Dubai Mall.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hivi unajua kwamba unaweza kubadili muonekano wa simu yako na kuwa vyovyote unavyotaka wewe??
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

kama unazani umeona basi ujue bado njoo Tanzania Mkoa wa Rukwa kuna maporomoko ya ajabu sana yanaitwa KALAMBO FALLS. hutatamani kurudi. 🇹🇿
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Kama unapenda simu non active basi sikiliza hii mpaka mwisho..
︎ Teknolojia

Meta itafanya event yake ya Meta Connect - Kesho saa 3 Asubuhi kwa muda wa Afrika Mashariki

Agenda kuu: Itaonyesha miwani zake za AI na mwelekeo wa kampuni hiyo katika maswala ya Akili Bandia na Metaverse
︎ Teknolojia

📲 Simu ambazo sasa zimeanza kupata mfumo mpya wa iOS 26