Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Umewahi kujiuliza hackers wanavyoweza kuingilia WhatsApp? 😳👇 Angalia njia wanazotumia na jinsi ya kujilinda usiingie mtegoni!

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Ila hii rangi ya ceramic orange kuna namna imekaa As Multisex wanaume wanaluka nayo na wanawake pia ,KWa upande wangu hii nimeona ndio rangi bora kwa sim zote zilizotambulishwa leo wewe je????

Jinsi Muundo wa iPhone 17 Ulivyozua Hisia Tofauti kwa Wapenzi wa Apple.:
https://telegra.ph/Jinsi-Muundo-wa-iPhone-17-Ulivyozua-Hisia-Tofauti-kwa-Wapenzi-wa-Apple-09-11

Telegraph
Jinsi Muundo wa iPhone 17 Ulivyozua Hisia Tofauti kwa Wapenzi wa Apple.
Wakati Apple ilipozindua iPhone 17 Series, mashabiki wengi walitarajia kupata simu yenye kamera bora zaidi, betri inayodumu muda mrefu, na chipu za nguvu ya kipekee. Hakika, maboresho haya yapo. Lakini jambo lililoibua hasira na mijadala mitandaoni siyo uwezo…