Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.02K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
πŸŒπŸš€ China yafanya mapinduzi ya teknolojia ya mawasiliano!
Kwa mara ya kwanza duniani, wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Peking na Chuo Kikuu cha Mji wa Hong Kong wameunda chip ya 6G β€œall-frequency” yenye uwezo wa kufanya kazi katika mawimbi yote kuanzia 0.5 GHz hadi 115 GHz.

⚑️ Chip hii inatumia teknolojia ya kisasa ya photonic-electronic fusion – ikichanganya mawimbi ya redio na mwanga kwenye kifaa kimoja – na inaweza kubadilisha frequency kwa kasi ya microsekunde 180 tu (haraka kuliko kufumba na kufumbua jicho πŸ‘).

πŸ’Ύ Spidi yake ni ya kushangaza: zaidi ya 100 Gbps, sawa na kupakua filamu ya 50GB ya 8K ndani ya sekunde chache! Hii ni kasi mara mamia ya zaidi ukilinganisha na 5G ya sasa.

🌍 Zaidi ya spidi, chip hii inalenga kuboresha upatikanaji wa intaneti hata maeneo ya vijijini, milimani na hata chini ya bahari – ikiondoa pengo kati ya mijini na maeneo ya mbali.

✨ Hatua hii ni ishara ya jinsi dunia inavyoelekea kwenye...

View original post
❀1
πŸ†• WhatsApp imetangaza, sasa watumiaji wake wanaweza kutengeneza background kwa kutumia AI katika video calls.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Name ya kudownload movie kupitia telegram πŸ‡°πŸ‡ͺ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Huyu hapa mwanakitaa mwenye kipaji kikubwa cha kuchora… @David Julius
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Tazama kipaji alichokuwa nacho mwanakitaa huyu @David Julius mkali wa kuchora πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ