Teknolojia
132 subscribers
3.78K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hii ni tahadhari kutoka umoja wa Mataifa (UN) Juu ya kupungua kwa Jinsia ya kiume au Wanaume Ulimwenguni! Sikiliza kwa makini mshirikishe na ndugu yako. 🇹🇿 🇰🇪
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Kwa nini tunaambiwa tuzime simu kwenye kituo cha mafuta? 🔥 Je ni hatari halisi au ni imani tu? 🧐 Tazama video hii ujue ukweli na uongo kuhusu simu na usalama kwenye vituo vya mafuta! 📱
Apple imetoa mfumo mpya wa majaribio wa iOS 26 Beta 8
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Samsung Z Flip 7 Teardown - What&;s inside |
︎ Teknolojia

💨 SAMSUNG WARRANTY TZ

▪️S25 (8+256) - 1.85 UK Stock
▪️S25 (8+256) - 2.1m
▪️S25+ (12+256) - 2.3m
▪️S25 Ultra (12+256) - 2.55m

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A07 (4+64) - 330K
▪️A07 (4+128) - 380K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (8+256) - 550K
▪️A26 5G (6+128) - 650K
▪️A26 5G (8+256) - 750K
▪️A36 5G (6+128) - 850K
▪️A36 5G (8+256) - 950K
▪️A55 5G (8+256) - 950K
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.1M
@Huduma

💨 Wachina wameanza kuuza iPhone 17 Pro Max

Wanauza Tsh. 4.9M.

Simu itazinduliwa mwezi ujao.
@Huduma

💨 Hii Realme inakuja na battery kubwa lenye 15,000mAh

Hii simu inakaa na chaji siku 5

Imetumia teknolojia mpya ya Silicon-carbon unaweza kuona simu iko na battery kubwa lakini umbo bado ni dogo linganisha na ukubwa wa hii powerbank yenye ukubwa huo huo wa 15,000mAh
@Huduma

💨 Tuhuma nzito dhidi ya Nothing Phone 3

Wametumia picha ya huyo mdada kama sample ya picha iliyopigwa na simu yao kumbe hii picha ilipigwa na 2023 na Professional Camera na simu ni 2025.

2016 pia Huawei kwenye P9 walishadanganya watu kwa picha walizopiga na Camera ya Canon.