Teknolojia
132 subscribers
3.75K photos
4.43K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

How to replace battery in your iphone 13 |
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna Ya Kufanya Usipatikane Hewani Bila Kuzima simu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hawadzabe hawaamini kwenye dini, Hawana simu Na Nyama wanayopenda zaidi ni Nyama ya nyani..
︎ Teknolojia

💨 Camera ya 0.5x Ultra wide huwa ni komesha kwenye hizi angle za ndani ya gari 🔥
︎ Teknolojia

💨 Hawa Vivo sehemu wanapofeli ni hawawezi kujishikilia

Vivo X200 Ultra wengine hata bado haijatufikia alafu mwezi ujao huko China wanazindua Vivo X300 Pro

Ifike muda sasa makampuni yaache huu mtindo wa kuanza kuzindua simu China kwanza alafu baada ya miezi kadhaa ndio Global.
︎ Teknolojia

💨 Jirani leo umewasha moto? Nimeishiwa pawa namna ulivyo mrembo.
︎ Teknolojia

💨 SAMSUNG WARRANTY TZ

▪️S25 (8+256) - 1.85 UK Stock
▪️S25 (8+256) - 2.1m
▪️S25+ (12+256) - 2.3m
▪️S25 Ultra (12+256) - 2.55m

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A07 (4+64) - 345K
▪️A07 (4+128) - 380K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (8+256) - 550K
▪️A26 5G (6+128) - 650K
▪️A26 5G (8+256) - 750K
▪️A36 5G (6+128) - 850K
▪️A36 5G (8+256) - 950K
▪️A55 5G (8+256) - 950K
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.1M
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wengi hufikiri ndege zikielekea magharibi zingefika haraka kwa sababu dunia inazunguka mashariki 🌍➡️. Ukweli? Haziathiriwi moja kwa moja! ✈️ Ndege na angahewa vyote vinazunguka pamoja na dunia. Kinachochelewesha au kuharakisha safari ni upepo mkali (jet streams), sio mzunguko wa dunia 💨. "
︎ Teknolojia

💨 Realme walisifiwa kidogo saa hii wanataka watuletee simu yenye battery lenye 15000mAh

Alafu hata haina ukubwa kivile.
︎ Teknolojia

💨 Huku Nothing Phone 3 Kule Pixel 10

Zote around 2M utawekeza wapi?
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuset call wallpaper kwa sim za iPhone 🇰🇪
Zenith Space Command ilikuwa ni remote ya kwanza ya TV - Mwaka 1956