Teknolojia
132 subscribers
3.75K photos
4.43K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ VIVO VISION EXPLORER EDITION

Baada ya Apple Vision Pro kutoka 2023 mpaka sasa haikuwahi kutoka product yenye neurotechnology yenye uwezo wa kuunganisha Ubongo, macho, mikono ya binadamu na VR kisha kufanya kazi kwa ufanisi.

Sasa Vivo 21/8/2025 watazindua product kama hiyo angalia videoπŸ‘‡

Apple yao inauzwa zaidi ya 10M je hii ya Vivo itakuwa vipi?
@Huduma

πŸ’¨ Redmi Note 15 Pro+ itakuwa ni simu imara sana

Unaweza idondosha mara 50 kwa urefu wa mita 2 na isipate uharibifu wowote.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

FUATA MAELEKEZO HAYA KUINUSURU SIMU YAKO YA MKONONI.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Kesho huko India itazinduliwa Redmi 15 5G itakuja na battery kubwa la 7000mAh

Bei around laki 4.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Are u ready for this wanakitaa??!! . . .
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kufanya telegram ifanye kazi kwenye simu,Laptop au Kompyuta kwa kutumia VPN 🀣🀣 πŸ‡°πŸ‡ͺ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini)
βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar
@Huduma

πŸ’¨ Siku hizi Kabila la Hadzabe limekuwa maarufu huko nchi za Asia kuliko hata maasai.

Hawa jamaa huko Tiktok wametengeneza hadi T-shirts za Dudukwe 😁
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

iPhone 16 vs 15 vs 14 vs 13 vs 12 Battery Test | BATTERY CHARGING TEST
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Samsung A17 5G πŸ”₯❣️

Hii ni ya moto sanaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Redmi Note 15 Pro+ inakuja na

β–ͺ️7000mAh battery kubwa
β–ͺ️90W Fast Charging

Battery la hii simu unalitumia miaka 5 mfululizo bila kupoteza ubora.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Nothing wanatuletea powerbank yao inayopokea software update 😁

β–ͺ️20,000mAh
β–ͺ️65W fast charging
β–ͺ️Glyph light
β–ͺ️Wireless charging