1️⃣ USB Sio Charger Pekee
Kila mara unapochomeka simu yako kwa USB:
Kuna “data channel” na “power channel.”
Computer inaweza kufikia simu yako kupitia data channel.
Hii inamaanisha faili, contacts, SMS, hata picha zako → ziko wazi.

5️⃣ Lesson Kuu
Usiichomeke ovyo kwenye computer ya public.
Kuchaji kwa socket ni salama zaidi kuliko kwa PC ya mtu mwingine. 🔒

Zina-scan simu yako mara tu unapoichomeka.
Zinakopi messages, call logs, WhatsApp data, n.k.
Yote yanafanyika kimya kimya bila alert yoyote.

〽︎ Teknolojia
💨 VIVO VISION EXPLORER EDITION
Baada ya Apple Vision Pro kutoka 2023 mpaka sasa haikuwahi kutoka product yenye neurotechnology yenye uwezo wa kuunganisha Ubongo, macho, mikono ya binadamu na VR kisha kufanya kazi kwa ufanisi.
Sasa Vivo 21/8/2025 watazindua product kama hiyo angalia video👇
Apple yao inauzwa zaidi ya 10M je hii ya Vivo itakuwa vipi?

@Huduma
💨 Redmi Note 15 Pro+ itakuwa ni simu imara sana
Unaweza idondosha mara 50 kwa urefu wa mita 2 na isipate uharibifu wowote.

💨 Kesho huko India itazinduliwa Redmi 15 5G itakuja na battery kubwa la 7000mAh
Bei around laki 4.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. 💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. 📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: ✅ AI ni nini hasa (na sio nini) ✅ Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli ✅ Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar

💨 Siku hizi Kabila la Hadzabe limekuwa maarufu huko nchi za Asia kuliko hata maasai.
Hawa jamaa huko Tiktok wametengeneza hadi T-shirts za Dudukwe 😁