Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI โ€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASSโ€ Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho โ€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. ๐ŸŒŸ Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI โ€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. ๐Ÿ‘” Wataalamu / Professionals โ€“ Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
๐ŸŽจ Wabunifu / Creatives โ€“ Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
๐Ÿ’ผ Vijana & Wajasiriamali โ€“ Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
๐Ÿ“š Wanafunzi & Walimu โ€“ Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: โœ… AI ni nini hasa (na sio nini)
โœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
โœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar

ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Mwenye nia ajifunze hapa hawezi toka patupu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จNiliwahi kuyasema haya humu ndani
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Fanya njia hizi mtu asikufuatilie tena katika Mawasiliano yako ya Simu au Computer.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Je! Ulikua unaijua mbinu hii mpya ya mataperi Mwanakitaa? Najua ulikua ufahamu mengi kuhusu hili swala ila Tafadhali angalia video Hii Mpaka Mwisho Then Thank Me Later.. Nawakumbusha tu hapa ndo mahali pekee ambapo utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuseti simu ya mtu wako wakaribu ijipokee baada ya kupiga simu
๐Ÿ’จ Uwezo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
โœ”๏ธ Ukiwa lazima utumie public computer โ†’ weka โ€œCharge onlyโ€ mode.

โœ”๏ธ Kwenye Android: Nenda Developer Options > Default USB Configuration > Charging Only.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKUWA MAKINI ๐Ÿšจ: UKICHOMEKA SIMU KWENYE COMPUTER YA PUBLIC DATA ZAKO ZINAWEZA KUNYONYWA KIMYA KIMYA ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ’ป

Unajua ukiweka simu yako kwenye computer ya library/cyber ili kuchaji au kuhamisha faili... kuna uwezekano mkubwa data zako zinakopiwa bila wewe kujua?

Thread ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
4๏ธโƒฃ Jinsi ya Kujilinda ๐Ÿ›ก๏ธ

โœ”๏ธ Tumia USB data blocker (kifaa kidogo kinachozuia data channel, kinaacha power pekee).

โœ”๏ธ Chomeka simu yako kwa adapter kwenye socket โ€“ sio PC ya mtu mwingine.
3๏ธโƒฃ Dalili za Hatari โš ๏ธ

Simu yako inakuuliza โ€œAllow access to data?โ€ kila mara.

Kuna icon ya โ€œFile transferโ€ bila wewe kuweka.

Battery inacharge unusually haraka/kwa shida.