Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Zinahitaji processor yenye nguvu zaidi.
πŸ‘‰ Simu ndogo za zamani zinaanza kuelemewa.
πŸ’‘ Suluhisho Rahisi

βœ… Futa cache mara kwa mara.

βœ… Ondoa apps/usizozitumia.

βœ… Tumia toleo β€œlite” la apps (mfano: Facebook Lite).
5️⃣ Battery Kudhoofika
Baada ya miaka 2, betri nyingi zinashuka efficiency hadi 80%.

Processor hushushwa speed kiotomatiki ili kulinda betri.
πŸ‘‰ Hii inakufanya uone simu inakua β€œslow.”
Simu za zamani hazijatengenezwa kushughulikia mzigo huo.
πŸ‘‰ Ndiyo maana unahisi simu imeanza kusuasua baada ya update 2–3.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Nothing Phone 3 ikiwa ndani ya cover
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini) βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar

πŸ’¨ Mwenye nia ajifunze hapa hawezi toka patupu.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Niliwahi kuyasema haya humu ndani
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Fanya njia hizi mtu asikufuatilie tena katika Mawasiliano yako ya Simu au Computer.