Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.34K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

Realme P4. Vs tecno spark 40 Vs iPhone 17 pro max

Nani kaupiga mwingi ๐Ÿ”ฅ
@Huduma

๐Ÿ’จ Samsung Galaxy A07 4G inakuja

โ–ช๏ธ50MP Camera
โ–ช๏ธHelio G99 Processor
โ–ช๏ธ6.7" PLS LCD, 1600x720, 90Hz
โ–ช๏ธ5000mAh, 15W
โ–ช๏ธAndroid 15, One UI 7

Kitu kikubwa zaidi inapokea software updates kwa miaka 6 mfululizo ๐Ÿฅถ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI โ€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASSโ€ Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho โ€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. ๐ŸŒŸ Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI โ€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. ๐Ÿ‘” Wataalamu / Professionals โ€“ Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. ๐ŸŽจ Wabunifu / Creatives โ€“ Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. ๐Ÿ’ผ Vijana & Wajasiriamali โ€“ Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. ๐Ÿ“š Wanafunzi & Walimu โ€“ Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: โœ… AI ni nini hasa (na sio nini) โœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli โœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Replying to @FALCON JIUNGE NA MAFUNZO YA AI โ€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASSโ€ Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho โ€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. ๐ŸŒŸ Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI โ€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. ๐Ÿ‘” Wataalamu / Professionals โ€“ Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. ๐ŸŽจ Wabunifu / Creatives โ€“ Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. ๐Ÿ’ผ Vijana & Wajasiriamali โ€“ Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. ๐Ÿ“š Wanafunzi & Walimu โ€“ Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: โœ… AI ni nini hasa (na sio nini) โœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli โœ… Sehemu AI inavyotumika
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

CAPTION: Why You need GPT-5? โ€ขFact-Backed outputs โ€ขChain-of-thought prompting โ€ขAn infrastructure towards AGI โ€ขDevelopers playground โ€ขPHD Level IQ and understanding
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ 1,800Pcs kwa faida ya chini kila jezi ukiweka 7,000 unapata faida 12.6M ndani ya muda mfupi.

Fursa hii.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Xiaomi wamembeba mfanyakazi wa BMW aliyedumu zaidi ya miaka 20 kitengo cha ubunifu Bw. Kai Langer.

Kwa soko la magari ya umeme lilivyo gumu China lakini mwanzo mwa mwaka huu tuliweza kushuhudia Xiaomi SUV7 ikiipita Tesla Model3 kwenye mauzo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kupost video iwe na Quality kama ya mwanzo kwenye Instagram na Tik tok
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI โ€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASSโ€ Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho โ€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. ๐ŸŒŸ Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI โ€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. ๐Ÿ‘” Wataalamu / Professionals โ€“ Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
๐ŸŽจ Wabunifu / Creatives โ€“ Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
๐Ÿ’ผ Vijana & Wajasiriamali โ€“ Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
๐Ÿ“š Wanafunzi & Walimu โ€“ Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: โœ… AI ni nini hasa (na sio nini)
โœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
โœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal

Replying to @isackissa173 JIUNGE NA MAFUNZO YA AI โ€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASSโ€ Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho โ€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. ๐ŸŒŸ Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI โ€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. ๐Ÿ‘” Wataalamu / Professionals โ€“ Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
๐ŸŽจ Wabunifu / Creatives โ€“ Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
๐Ÿ’ผ Vijana & Wajasiriamali โ€“ Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
๐Ÿ“š Wanafunzi & Walimu โ€“ Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: โœ… AI ni nini hasa (na sio nini)
โœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
โœ… Sehemu AI inavyo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI โ€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASSโ€ Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho โ€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. ๐ŸŒŸ Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI โ€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. ๐Ÿ‘” Wataalamu / Professionals โ€“ Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
๐ŸŽจ Wabunifu / Creatives โ€“ Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
๐Ÿ’ผ Vijana & Wajasiriamali โ€“ Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
๐Ÿ“š Wanafunzi & Walimu โ€“ Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: โœ… AI ni nini hasa (na sio nini)
โœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
โœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
@Huduma

๐Ÿ’จ Huawei Pura 80 Ultra ndiyo simu yenye camera bora kwasasa duniani.

Source: DXOMark
๐Ÿ”ฅ iOS26 ina style ambayo ni nzuri sana katika sehemu ya kuonyesha muda

Ina effects ambazo zina uhalisia unaofuata style ya Wallpaper
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Thamani ya Tesla sokoni Vs makampuni mengine ya magari.

Xiaomi ni wajuzi ila hii speed wanayokuja nayo inashangaza.