Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.41K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mwaka wa battery za 7000mAh umeanza

Redmi 15 inakuja na battery lenye ukubwa huo unatumia zaidi ya siku mbili huku ikiwa na processor ya Snapdragon 6s Gen 3

Hii itakuwa ni simu ya budget ya laki 4-5.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Naangalia comments ni nyingi kumbe zote zinamzungumzia Mpina 😁
@Huduma

Realme P4. Vs tecno spark 40 Vs iPhone 17 pro max

Nani kaupiga mwingi πŸ”₯
@Huduma

πŸ’¨ Samsung Galaxy A07 4G inakuja

β–ͺ️50MP Camera
β–ͺ️Helio G99 Processor
β–ͺ️6.7" PLS LCD, 1600x720, 90Hz
β–ͺ️5000mAh, 15W
β–ͺ️Android 15, One UI 7

Kitu kikubwa zaidi inapokea software updates kwa miaka 6 mfululizo πŸ₯Ά
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini) βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal

Replying to @FALCON JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini) βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli βœ… Sehemu AI inavyotumika
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

CAPTION: Why You need GPT-5? β€’Fact-Backed outputs β€’Chain-of-thought prompting β€’An infrastructure towards AGI β€’Developers playground β€’PHD Level IQ and understanding
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ 1,800Pcs kwa faida ya chini kila jezi ukiweka 7,000 unapata faida 12.6M ndani ya muda mfupi.

Fursa hii.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Xiaomi wamembeba mfanyakazi wa BMW aliyedumu zaidi ya miaka 20 kitengo cha ubunifu Bw. Kai Langer.

Kwa soko la magari ya umeme lilivyo gumu China lakini mwanzo mwa mwaka huu tuliweza kushuhudia Xiaomi SUV7 ikiipita Tesla Model3 kwenye mauzo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kupost video iwe na Quality kama ya mwanzo kwenye Instagram na Tik tok
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini)
βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Replying to @isackissa173 JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini)
βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
βœ… Sehemu AI inavyo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini) βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
@Huduma

πŸ’¨ Huawei Pura 80 Ultra ndiyo simu yenye camera bora kwasasa duniani.

Source: DXOMark