Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
2️⃣ Forensic Recovery Tools

Kuna programu kama UFED (Cellebrite), Dr.Fone, iMyFone D-Back ambazo hutumiwa na wataalamu wa digital forensics.

Zinaweza kusoma backups za zamani au files zilizofutwa kwenye internal storage.
3️⃣ Backups za Siri (Silent Backups)

Kama una Google Drive Backup au iCloud Backup imewashwa, meseji zako zote – hata zilizofutwa – zinaweza kurejeshwa ukirestore backup ya siku za nyuma.

Wengine hutumia hii mbinu ku-restore chat history bila mmiliki kujua.
4️⃣ WhatsApp Export Feature

Kabla hujafuta, mtu anaweza kutumia Export Chat na ku-save mazungumzo yote.

Hata ukifuta baadaye, file lililo-export linasalia liko salama kwao.
5️⃣ Jinsi ya Kupunguza Hatari

Zima Cloud Backups ikiwa unahitaji faragha kamili.
Tumia end-to-end encryption kwenye backups (feature mpya WhatsApp).
Kawaida clear chats na overwrite storage kwa data mpya.
Usitumie WhatsApp kwenye vifaa visivyo vyako.
💬 Kumbuka: Teknolojia ya “delete” mara nyingi ni “hide” tu.
Usitumie WhatsApp kuficha siri ambazo huwezi kuishi nazo zikivuja.
︎ Teknolojia

💨 Mwaka wa battery za 7000mAh umeanza

Redmi 15 inakuja na battery lenye ukubwa huo unatumia zaidi ya siku mbili huku ikiwa na processor ya Snapdragon 6s Gen 3

Hii itakuwa ni simu ya budget ya laki 4-5.
︎ Teknolojia

💨 Naangalia comments ni nyingi kumbe zote zinamzungumzia Mpina 😁
@Huduma

Realme P4. Vs tecno spark 40 Vs iPhone 17 pro max

Nani kaupiga mwingi 🔥
@Huduma

💨 Samsung Galaxy A07 4G inakuja

▪️50MP Camera
▪️Helio G99 Processor
▪️6.7" PLS LCD, 1600x720, 90Hz
▪️5000mAh, 15W
▪️Android 15, One UI 7

Kitu kikubwa zaidi inapokea software updates kwa miaka 6 mfululizo 🥶
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini)
Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal

Replying to @FALCON JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini)
Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
Sehemu AI inavyotumika
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

CAPTION: Why You need GPT-5? •Fact-Backed outputs •Chain-of-thought prompting •An infrastructure towards AGI •Developers playground •PHD Level IQ and understanding
︎ Teknolojia

💨 1,800Pcs kwa faida ya chini kila jezi ukiweka 7,000 unapata faida 12.6M ndani ya muda mfupi.

Fursa hii.
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi wamembeba mfanyakazi wa BMW aliyedumu zaidi ya miaka 20 kitengo cha ubunifu Bw. Kai Langer.

Kwa soko la magari ya umeme lilivyo gumu China lakini mwanzo mwa mwaka huu tuliweza kushuhudia Xiaomi SUV7 ikiipita Tesla Model3 kwenye mauzo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kupost video iwe na Quality kama ya mwanzo kwenye Instagram na Tik tok