Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ’¨ Jimmy Chansa pale GSM πŸ”₯
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Ukweli kuhusu kuchaji simu mpya! Umeambiwa lazima uichaji saa 8 mara ya kwanza? πŸ€” Huo ni ushauri wa enzi za betri za zamani – simu za kisasa hazihitaji hivyo kabisa! πŸ”‹ βœ… Tumia mara moja baada ya kufungua boksi βœ… Chaji kuanzia 20%–80% πŸ”₯ Epuka joto kali – ndilo adui wa betri
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kufanya doll edit kwa kitumia chatgpt na CapCut
2️⃣ Forensic Recovery Tools

Kuna programu kama UFED (Cellebrite), Dr.Fone, iMyFone D-Back ambazo hutumiwa na wataalamu wa digital forensics.

Zinaweza kusoma backups za zamani au files zilizofutwa kwenye internal storage.
3️⃣ Backups za Siri (Silent Backups)

Kama una Google Drive Backup au iCloud Backup imewashwa, meseji zako zote – hata zilizofutwa – zinaweza kurejeshwa ukirestore backup ya siku za nyuma.

Wengine hutumia hii mbinu ku-restore chat history bila mmiliki kujua.
4️⃣ WhatsApp Export Feature

Kabla hujafuta, mtu anaweza kutumia Export Chat na ku-save mazungumzo yote.

Hata ukifuta baadaye, file lililo-export linasalia liko salama kwao.
5️⃣ Jinsi ya Kupunguza Hatari

βœ… Zima Cloud Backups ikiwa unahitaji faragha kamili.
βœ… Tumia end-to-end encryption kwenye backups (feature mpya WhatsApp).
βœ… Kawaida clear chats na overwrite storage kwa data mpya.
βœ… Usitumie WhatsApp kwenye vifaa visivyo vyako.
πŸ’¬ Kumbuka: Teknolojia ya β€œdelete” mara nyingi ni β€œhide” tu.
Usitumie WhatsApp kuficha siri ambazo huwezi kuishi nazo zikivuja.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mwaka wa battery za 7000mAh umeanza

Redmi 15 inakuja na battery lenye ukubwa huo unatumia zaidi ya siku mbili huku ikiwa na processor ya Snapdragon 6s Gen 3

Hii itakuwa ni simu ya budget ya laki 4-5.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Naangalia comments ni nyingi kumbe zote zinamzungumzia Mpina 😁
@Huduma

Realme P4. Vs tecno spark 40 Vs iPhone 17 pro max

Nani kaupiga mwingi πŸ”₯
@Huduma

πŸ’¨ Samsung Galaxy A07 4G inakuja

β–ͺ️50MP Camera
β–ͺ️Helio G99 Processor
β–ͺ️6.7" PLS LCD, 1600x720, 90Hz
β–ͺ️5000mAh, 15W
β–ͺ️Android 15, One UI 7

Kitu kikubwa zaidi inapokea software updates kwa miaka 6 mfululizo πŸ₯Ά
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini) βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal