This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
π¨ Crush wangu alikuwaga na meno kama haya kuna siku nikakuta kaweka masengenge kwenye meno hamu ikaniisha.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Ukweli kuhusu kuchaji simu mpya! Umeambiwa lazima uichaji saa 8 mara ya kwanza? π€ Huo ni ushauri wa enzi za betri za zamani β simu za kisasa hazihitaji hivyo kabisa! π β Tumia mara moja baada ya kufungua boksi β Chaji kuanzia 20%β80% π₯ Epuka joto kali β ndilo adui wa betri

2οΈβ£ Forensic Recovery Tools
Kuna programu kama UFED (Cellebrite), Dr.Fone, iMyFone D-Back ambazo hutumiwa na wataalamu wa digital forensics.
Zinaweza kusoma backups za zamani au files zilizofutwa kwenye internal storage.

3οΈβ£ Backups za Siri (Silent Backups)
Kama una Google Drive Backup au iCloud Backup imewashwa, meseji zako zote β hata zilizofutwa β zinaweza kurejeshwa ukirestore backup ya siku za nyuma.
Wengine hutumia hii mbinu ku-restore chat history bila mmiliki kujua.

4οΈβ£ WhatsApp Export Feature
Kabla hujafuta, mtu anaweza kutumia Export Chat na ku-save mazungumzo yote.
Hata ukifuta baadaye, file lililo-export linasalia liko salama kwao.

5οΈβ£ Jinsi ya Kupunguza Hatari
β Zima Cloud Backups ikiwa unahitaji faragha kamili.
β Tumia end-to-end encryption kwenye backups (feature mpya WhatsApp).
β Kawaida clear chats na overwrite storage kwa data mpya.
β Usitumie WhatsApp kwenye vifaa visivyo vyako.

π¬ Kumbuka: Teknolojia ya βdeleteβ mara nyingi ni βhideβ tu.
Usitumie WhatsApp kuficha siri ambazo huwezi kuishi nazo zikivuja.
Usitumie WhatsApp kuficha siri ambazo huwezi kuishi nazo zikivuja.
γ½οΈ Teknolojia
π¨ Mwaka wa battery za 7000mAh umeanza
Redmi 15 inakuja na battery lenye ukubwa huo unatumia zaidi ya siku mbili huku ikiwa na processor ya Snapdragon 6s Gen 3
Hii itakuwa ni simu ya budget ya laki 4-5.