Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
8. Baada ya Boost

Jibu DM zote haraka
Tumia “Quick Replies”
Tambua aina ya watu wanaouliza
Boresha tangazo linalofuata kwa kuzingatia maswali yao
4. Chagua walengwa (Audience)

Hii sehemu ni muhimu sana:

🛑 Usichague “Automatic”. Tengeneza audience mpya:

📍 Location: Tanzania au mji maalum
🎯 Age: 18–40 (kulingana na wateja wako)
📚 Interests: Android, Fashion, iPhone, Delivery, Women Clothing, etc.
📌 Mambo ya Kukumbuka

Usitumie picha mbaya au zenye maandishi mengi
Usipost bidhaa haramu (Facebook wata-kataa boost)
Jaribu picha tofauti – fanya A/B Testing
💡 Mfano:
Unauza simu? Chagua watu wenye interest:
👉 Android phones
👉 Smartphones
👉 Jumia
👉 Dar es Salaam
👉 Tanzania
9. Bonus: Boost ya Instagram Bila Akaunti ya Biashara

👉 Badilisha akaunti yako kuwa Professional Account
👉 Fungua sehemu ya “Insights”
👉 Tumia Boost tools pale pale kwenye post zako
7. Jinsi ya Kulipia Boost kwa M-PESA

👉 Tumia apps kama:
• Chipper Cash
• Payday
• Grey
• Barter
• Eversend

🔁 Zote zinawezesha kupata VISA card ya kulipia Facebook Ads kwa M-PESA moja kwa moja!
📍 Kama una duka au biashara ya mtandaoni – Boost ni njia rahisi ya kuwafikia maelfu ya watu bila gharama kubwa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuzuia namba yako isiweze kujulikana na truecaller..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kucheza game za kwneye sim kwa kutumia ps5 controller pad Hii imekaa poa saba kwa sisi Gamers🔥🔥
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

💡 Internet kupitia mwanga! 🚀 Hii si Wi-Fi… ni Li-Fi – teknolojia mpya inayotumia mwanga wa LED kutuma data kwa kasi ya ajabu 📶 Kasi yake inaweza kufika hadi mara 100 ya Wi-Fi! Je, unafikiria siku moja tutaachana na Wi-Fi kabisa? 🤔