Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
6. Hakiki na thibitisha

• Facebook au Instagram watakagua tangazo (huchukua dakika hadi masaa machache)

• Likikubaliwa – litaanza kuonekana kwa watu wa miji au rika ulilolenga
3. Chagua lengo la tangazo

Facebook au Instagram itakuuliza unataka watu wafanye nini:

Kutuma ujumbe
Kutembelea tovuti
Kuongeza likes/comments
Kupiga simu

⚠️ Chagua Send Message kama unauza bidhaa unazojibu DM moja kwa moja.
5. Weka Bajeti

💰 Budget ni kiasi cha pesa unataka kutumia:

• Tsh 3,000 kwa siku (kawaida)
• Tsh 10,000 kwa siku (kwa matokeo zaidi)

Unaweza kuboost kwa siku 3 au 5. Facebook itaonyesha makadirio ya watu watakaoona.

📌 Hakikisha umeunganisha mpesa au kadi ya malipo
8. Baada ya Boost

Jibu DM zote haraka
Tumia “Quick Replies”
Tambua aina ya watu wanaouliza
Boresha tangazo linalofuata kwa kuzingatia maswali yao
4. Chagua walengwa (Audience)

Hii sehemu ni muhimu sana:

🛑 Usichague “Automatic”. Tengeneza audience mpya:

📍 Location: Tanzania au mji maalum
🎯 Age: 18–40 (kulingana na wateja wako)
📚 Interests: Android, Fashion, iPhone, Delivery, Women Clothing, etc.
📌 Mambo ya Kukumbuka

Usitumie picha mbaya au zenye maandishi mengi
Usipost bidhaa haramu (Facebook wata-kataa boost)
Jaribu picha tofauti – fanya A/B Testing
💡 Mfano:
Unauza simu? Chagua watu wenye interest:
👉 Android phones
👉 Smartphones
👉 Jumia
👉 Dar es Salaam
👉 Tanzania
9. Bonus: Boost ya Instagram Bila Akaunti ya Biashara

👉 Badilisha akaunti yako kuwa Professional Account
👉 Fungua sehemu ya “Insights”
👉 Tumia Boost tools pale pale kwenye post zako
7. Jinsi ya Kulipia Boost kwa M-PESA

👉 Tumia apps kama:
• Chipper Cash
• Payday
• Grey
• Barter
• Eversend

🔁 Zote zinawezesha kupata VISA card ya kulipia Facebook Ads kwa M-PESA moja kwa moja!
📍 Kama una duka au biashara ya mtandaoni – Boost ni njia rahisi ya kuwafikia maelfu ya watu bila gharama kubwa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuzuia namba yako isiweze kujulikana na truecaller..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kucheza game za kwneye sim kwa kutumia ps5 controller pad Hii imekaa poa saba kwa sisi Gamers🔥🔥