Teknolojia
132 subscribers
3.78K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Oppo Find X8 Ultra ndiyo simu yenye Camera kali kwasasa duniani

Kwa mujibu wa DXO Mark hawa ni wataalamu wa kupima ubora wa vifaa vya Electronics duniani

Vivo X200 Ultra nafasi ya pili imemkaribia Oppo zaidi. Xiaomi huu mwaka kwao umekuwa mzito kila sehemu.
@Huduma

πŸ’¨ OPPO K13 Turbo Pro
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wi-Fi si Internet! Usichanganye! Wi-Fi ni njia ya kuunganisha vifaa, si huduma ya internet yenyewe. Jifunze tofauti kati ya Wi-Fi na internet hapa! πŸŒπŸ“Ά
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Naomba neno moja kwa hawa vijana wangu kwenye Dancing!! γ‚š
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

LINI WATANZANIA TUTAANZA KUJITOA KWA MOYO KWA TIMU YETU YA TAIFA. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
6. Hakiki na thibitisha

β€’ Facebook au Instagram watakagua tangazo (huchukua dakika hadi masaa machache)

β€’ Likikubaliwa – litaanza kuonekana kwa watu wa miji au rika ulilolenga
3. Chagua lengo la tangazo

Facebook au Instagram itakuuliza unataka watu wafanye nini:

βœ… Kutuma ujumbe
βœ… Kutembelea tovuti
βœ… Kuongeza likes/comments
βœ… Kupiga simu

⚠️ Chagua Send Message kama unauza bidhaa unazojibu DM moja kwa moja.
5. Weka Bajeti

πŸ’° Budget ni kiasi cha pesa unataka kutumia:

β€’ Tsh 3,000 kwa siku (kawaida)
β€’ Tsh 10,000 kwa siku (kwa matokeo zaidi)

Unaweza kuboost kwa siku 3 au 5. Facebook itaonyesha makadirio ya watu watakaoona.

πŸ“Œ Hakikisha umeunganisha mpesa au kadi ya malipo
8. Baada ya Boost

βœ… Jibu DM zote haraka
βœ… Tumia β€œQuick Replies”
βœ… Tambua aina ya watu wanaouliza
βœ… Boresha tangazo linalofuata kwa kuzingatia maswali yao
4. Chagua walengwa (Audience)

Hii sehemu ni muhimu sana:

πŸ›‘ Usichague β€œAutomatic”. Tengeneza audience mpya:

πŸ“ Location: Tanzania au mji maalum
🎯 Age: 18–40 (kulingana na wateja wako)
πŸ“š Interests: Android, Fashion, iPhone, Delivery, Women Clothing, etc.
πŸ“Œ Mambo ya Kukumbuka

βœ… Usitumie picha mbaya au zenye maandishi mengi
βœ… Usipost bidhaa haramu (Facebook wata-kataa boost)
βœ… Jaribu picha tofauti – fanya A/B Testing
πŸ’‘ Mfano:
Unauza simu? Chagua watu wenye interest:
πŸ‘‰ Android phones
πŸ‘‰ Smartphones
πŸ‘‰ Jumia
πŸ‘‰ Dar es Salaam
πŸ‘‰ Tanzania