Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Instagram imeboresha sehemu ya kuonyesha taarifa za akaunti katika sehemu ya Insights.
Microsoft Publisher itafutwa rasmi mwakani. Hii ilikuwa app maarufu ya kutengeneza kadi na magazeti katika miaka ya zamani

- Microsoft imesema watumiaji watumie Word, Designer na PowerPoint.

- Adobe InDesign, Illustrator na Photoshop zimechukua soko la watumiaji wa Publisher.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unaweza kushinda laki tano hadi milioni moja kwenye challenge???
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Jifunze Matumizi ya kila Usb unazokutana nazo kila siku na matumizi yake katika Vifaa mbalimbali