Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
1. 4G haimaanishi speed ya juu kila mara.
Nembo ya “4G” inamaanisha tu umeunganishwa kwenye mtandao wa 4G — si lazima upate high-speed internet.

🔍 Speed inategemea bandwidth na network congestion.
8. 🧼 Safisha cache ya network:
Washa simu kwenye safe mode au reset network settings (Settings > System > Reset > Reset Network Settings).

→ Hii huondoa bugs au conflicts zinazozuia network iwe stable.
10. 🔚 Kwa kifupi:
4G ≠ Speed guaranteed.

📌 Sababu kuu ni:

Bandwidth finyu

Mitambo kuzidiwa

APN mbovu

Simu isiyounga mkono 4G vizuri

Location
9. 💡 Bonus tip:
Ikiwa unatumia dual SIM — hakikisha data imewekwa kwenye line yenye network bora.

Pia weka line hiyo kwenye SIM slot 1 — kwa sababu slot ya pili mara nyingi haina 4G support full.
6. 📱 Simu yenye 4G band finyu:
Simu nyingi za bei nafuu (za kichina) zinakuja na limited 4G bands.
→ Haziwezi kushika vizuri baadhi ya frequency za mitandao yetu.

Hakikisha simu yako ina support 4G LTE Band 3 (1800 MHz) — inayotumika sana Afrika.
3. 🧱 Congested tower:
Mitambo ya 4G inahudumia watu wengi.
Wakati wa jioni au maeneo yenye watu wengi (shule, sokoni, kwenye event) — network inakuwa congested.

Matokeo? Internet ya kutafuna maneno.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Video by ubepari_pc
Share and like

Follow @ubepari_pc for more tech take like this
💨 Wakenya toka wamfunge Congo wamekuwa na mdogo sana

Siku wakicheza na sisi Tanzania hata kama kitapigwa Nairobi lazima niende tuwafunze adabu 😂😂
Instagram imeboresha sehemu ya kuonyesha taarifa za akaunti katika sehemu ya Insights.
Microsoft Publisher itafutwa rasmi mwakani. Hii ilikuwa app maarufu ya kutengeneza kadi na magazeti katika miaka ya zamani

- Microsoft imesema watumiaji watumie Word, Designer na PowerPoint.

- Adobe InDesign, Illustrator na Photoshop zimechukua soko la watumiaji wa Publisher.