โ ๏ธ Kila keyboard ina njia yake lakini logic ni ile ile: tafuta sehemu ya 'Text correction' au 'Smart typing'.
Sababu ni settings kama:
โ Auto-correct
๐ฎ Prediction strip
๐ Auto-capitalization
๐ง Personalized suggestions
Zimewekwa default, lakini unaweza kuzima zote kwa dakika 2 tu.

@Huduma
๐จ Hawa wadogo zangu sijui wamesikia nini ๐๐ hii wiki wamenicheki
Huyu wakike ndio anamaliza Clinical Medicine mwaka huu na huyu wa kiume ndio yuko mwaka wa kwanza chuoni.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Unajua Google hutumika zaidi ya bilioni 8 kwa siku? Lakiniโฆ huwa unajiuliza inavyofanya kazi? ๐๐ฝ Hebu tukufungulie pazia! Google haitumii uchawi โ inatumia hatua 3 tu rahisi: 1๏ธโฃ Crawling โ kutembelea kurasa zote mtandaoni ๐ท๏ธ 2๏ธโฃ Indexing โ kuhifadhi taarifa bora kama maktaba ๐ 3๏ธโฃ Ranking โ kupanga majibu bora kukufaa wewe ๐ฏ Mfano rahisi: Ukiandika โchai ya tangawizi,โ Google hutafuta kurasa zenye maelezo sahihi, ya kuaminika, na bora zaidi. ๐ฒ Video hii itakufungua macho โ share kwa anayependa kujua jinsi internet inavyofanya kazi!

Unatumia Wi-Fi ya bure? Kaa chonjo! VPN ni kama barabara ya siri inayokulinda unapotuma taarifa zako mtandaoni. Hebu tujue VPN ni nini, inafanyaje kazi, na kwa nini unaihitaji hasa ukiwa kwenye Wi-Fi ya umma!