Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Hii huwa inatokea sana kwenye:
• Samsung
• Infinix
• TECNO
• Xiaomi
• iPhone (kwenye 80%)
Na simu zingine mpya mpya.
Mfano:
Kama kawaida unaamka saa 11 alfajiri, itaanza kuchaji 85–100% polepole kuanzia saa 10 usiku.
Ushauri:

Tumia fast charger original

Usilaze simu juu ya godoro ikichaji

Weka battery health juu ya speed ya kuchaji

Hakikisha OS yako iko updated
⚠️ Angalizo:
Ukizima protection hizi, utaanza kuchaji hadi 100%, lakini battery yako inaweza kuharibika mapema (hasa baada ya miezi 6–12).

Ni bora kubaki na feature hiyo ikiwa huna uhitaji wa power ya ziada.
Kwa TECNO/Infinix/Xiaomi:
Settings > Battery Lab / Smart Manager > Health Charging > Zima
🔋 Battery Protection Mode hufanya hivi:

Inazuia kuchaji ikifika 80–85%

Huwezesha kuchaji polepole mwisho wa mzunguko

Hujifunza tabia zako za kuchaji (kwa iPhone & Samsung)
🧠 Kwanini imewekwa?
Hii ni teknolojia ya kuzuia battery kuharibika mapema.

Battery nyingi huchakaa haraka kwa sababu ya:

Overcharging
Kwa iPhone:
Settings > Battery > Battery Health > Turn off “Optimized Battery Charging”
Moto mwingi wakati wa kuchaji

Mzunguko wa nguvu usiokuwa stable

Simu yako inakinga ya akili kuzuia hayo yote!
📲 Namna ya kuizima (ukihitaji full charge):

Kwa Samsung:
Settings > Battery & device care > Battery > More battery settings > Turn off “Protect battery”
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Mambo muhimu ya kuzingatia unaponunua simu yako ili udumu nayo kwa muda mrefu..
🔒 Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 18.6, iPadOS 18.6 na macOS Sequoia 15.6 kurekebisha matatizo ya usalama,

🚨 Zaidi ya 80 bugs zimeondolewa!

💻📱 Update kifaa chako sasa ili kulinda taarifa zako binafsi.
💨 Kuna huyu kapangisha nyumba, mwenye nyumba kamuambia lazima anunue fagio kubwa la chelewa alale nalo ndani tena ikiwezekana mawili.

Hii ina maana gani?
︎ Teknolojia

💨OnePlus Nord 5 vs. Nothing Phone 3a Pro🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Tumia simu kama remote ya TV. @Stick - Remote Control For TV
@Huduma

💨 OFFICIAL & CONFIRMED

Huu mkono sio wa Feisal muda wake utafika ngojeni CHAN iishe.