Teknolojia
134 subscribers
3.84K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
β€Œ

πŸ’¨ Kama unataka kuongea na mhudumu ni simple

Piga 100 chagua kusahau namba za siri wanapokea muda huo huo eleza tatizo lako wanalifanyia kazi muda huo huo.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hawa nothing wana Michezo
πŸ†• Samsung imeanza kutoa mfumo mpya wa One UI 8 beta 4 kwa watumiaji wa simu zote za Galaxy S25
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ”₯ Style mpya ya Wallpaper katika simu za iPhone katika iOS 26 ni kali sana
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Mwambie na Rafiki yako asichanganye matumizi ya hizi USB( Nyaya aina tofauti tofauti)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Infinix Hot 60 Pro – Je Inastahili Kununuliwa kwa Sifa Zake na Bei Hii?
Simu mpya ya Infinix Hot 60 Pro unaweza kwa kuipata kwa bei rafiki lakini ya kufikiria kununua huna budi kujua kiundani iwapo bei yake inaendana na sifa zake basi hii video itakupa taarifa zote muhimu kuhusu hii simu
Hii huwa inatokea sana kwenye:
β€’ Samsung
β€’ Infinix
β€’ TECNO
β€’ Xiaomi
β€’ iPhone (kwenye 80%)
Na simu zingine mpya mpya.
Mfano:
Kama kawaida unaamka saa 11 alfajiri, itaanza kuchaji 85–100% polepole kuanzia saa 10 usiku.
βœ… Ushauri:

Tumia fast charger original

Usilaze simu juu ya godoro ikichaji

Weka battery health juu ya speed ya kuchaji

Hakikisha OS yako iko updated
⚠️ Angalizo:
Ukizima protection hizi, utaanza kuchaji hadi 100%, lakini battery yako inaweza kuharibika mapema (hasa baada ya miezi 6–12).

Ni bora kubaki na feature hiyo ikiwa huna uhitaji wa power ya ziada.
βœ… Kwa TECNO/Infinix/Xiaomi:
Settings > Battery Lab / Smart Manager > Health Charging > Zima
πŸ”‹ Battery Protection Mode hufanya hivi:

Inazuia kuchaji ikifika 80–85%

Huwezesha kuchaji polepole mwisho wa mzunguko

Hujifunza tabia zako za kuchaji (kwa iPhone & Samsung)
🧠 Kwanini imewekwa?
Hii ni teknolojia ya kuzuia battery kuharibika mapema.

Battery nyingi huchakaa haraka kwa sababu ya:

Overcharging
βœ… Kwa iPhone:
Settings > Battery > Battery Health > Turn off β€œOptimized Battery Charging”
Moto mwingi wakati wa kuchaji

Mzunguko wa nguvu usiokuwa stable

Simu yako inakinga ya akili kuzuia hayo yote!
πŸ“² Namna ya kuizima (ukihitaji full charge):

βœ… Kwa Samsung:
Settings > Battery & device care > Battery > More battery settings > Turn off β€œProtect battery”
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Mambo muhimu ya kuzingatia unaponunua simu yako ili udumu nayo kwa muda mrefu..
πŸ”’ Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 18.6, iPadOS 18.6 na macOS Sequoia 15.6 kurekebisha matatizo ya usalama,

🚨 Zaidi ya 80 bugs zimeondolewa!

πŸ’»πŸ“± Update kifaa chako sasa ili kulinda taarifa zako binafsi.