Teknolojia
132 subscribers
3.78K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

πŸ’¨ Designer wa Fold 7 apewe maua yake
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hii ndiyo mbinu mpya inayotumiwa na matapeli πŸ™ŒπŸ™Œ Inahitaji umakini mkubwa sana kwenye hili kama wewe ni mfanya biashara kwani inaweza ikakukuta siku moja.. Angalia video hii mpaka mwisho mwanakitaa utakuja kunishukuru baadaye.. Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Umeshawahi kukutana na watu kama hawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚???
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Je! Ulikua unalijua hili Mwanakitaa? Najua ulikua ufahamu mengi kuhusu Battery Health ila Tafadhali angalia video Hii Mpaka Mwisho Then Thank Me Later.. Nawakumbusha tu hapa ndo mahali pekee ambapo utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Maneno ya mtaani na walinzi β€œHauruhusiwi kuingia na nguo iliyoandikwa maneno kwenye majengo ya serikali”

Mwanasheria Tundu Lissu Mahakamani πŸ‘‡πŸ˜
β€Œ

πŸ’¨ Kama unataka kuongea na mhudumu ni simple

Piga 100 chagua kusahau namba za siri wanapokea muda huo huo eleza tatizo lako wanalifanyia kazi muda huo huo.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hawa nothing wana Michezo
πŸ†• Samsung imeanza kutoa mfumo mpya wa One UI 8 beta 4 kwa watumiaji wa simu zote za Galaxy S25
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ”₯ Style mpya ya Wallpaper katika simu za iPhone katika iOS 26 ni kali sana
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Mwambie na Rafiki yako asichanganye matumizi ya hizi USB( Nyaya aina tofauti tofauti)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Infinix Hot 60 Pro – Je Inastahili Kununuliwa kwa Sifa Zake na Bei Hii?
Simu mpya ya Infinix Hot 60 Pro unaweza kwa kuipata kwa bei rafiki lakini ya kufikiria kununua huna budi kujua kiundani iwapo bei yake inaendana na sifa zake basi hii video itakupa taarifa zote muhimu kuhusu hii simu
Hii huwa inatokea sana kwenye:
β€’ Samsung
β€’ Infinix
β€’ TECNO
β€’ Xiaomi
β€’ iPhone (kwenye 80%)
Na simu zingine mpya mpya.
Mfano:
Kama kawaida unaamka saa 11 alfajiri, itaanza kuchaji 85–100% polepole kuanzia saa 10 usiku.
βœ… Ushauri:

Tumia fast charger original

Usilaze simu juu ya godoro ikichaji

Weka battery health juu ya speed ya kuchaji

Hakikisha OS yako iko updated
⚠️ Angalizo:
Ukizima protection hizi, utaanza kuchaji hadi 100%, lakini battery yako inaweza kuharibika mapema (hasa baada ya miezi 6–12).

Ni bora kubaki na feature hiyo ikiwa huna uhitaji wa power ya ziada.