Teknolojia
132 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
10. 💾 Simu haisomi memory card?

Safisha memory card na slot
Jaribu kwenye simu nyingine
Kama inasoma – backup data na i-format (FAT32 format)
Hakikisha ni original card – fake huleta matatizo sana
12. 🔁 Simu inajizima yenyewe kila mara

Safisha storage
Angalia kama kuna app mbovu imeingizwa (cracked apps)
Fanya Factory Reset kama haijasaidia
Kama bado – betri inaweza kuwa imechoka
@Huduma

💨 Apple wamewaiga wachina namna wanavyovujisha simu zao mpya ambazo hazijatoka.

Wanaiingiza mtaani makusudi kwa kuifanyia majaribio na kuificha ficha kimkakati.
16. 🔐 WhatsApp yako hai-display jina la mtumaji kwenye notification?

Nenda WhatsApp Settings > Notifications
Hakikisha Show Preview imewashwa
Pia settings za simu (notification settings) ziwe sawa
︎ Teknolojia

💨 Google Pixel 10 itazinduliwa tarehe 20 mwezi ujao.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unadhani mistari myeupe nyuma ya ndege ni mafuta au kemikali? ✈️😨 Ukweli wake ni rahisi kuliko unavyofikiri — ni kama pumzi yako kwenye baridi kali!❄️ Hebu tuchambue kinachoendelea angani... "
@Huduma

💨 Shot on Nothing Phone 3 📸
@Huduma

💨 Designer wa Fold 7 apewe maua yake