15. π Namba zako za mawasiliano zimefutika?
β Fungua app ya Contacts
> Chagua βOrganizeβ au βRecycle Binβ
Rejesha namba zilizofutwa
β Google Contacts > Trash
β Sync Contacts na Gmail yako
β Fungua app ya Contacts
> Chagua βOrganizeβ au βRecycle Binβ
Rejesha namba zilizofutwa
β Google Contacts > Trash
β Sync Contacts na Gmail yako
11. π Ulipoteza picha au documents zako?
β Angalia kwenye Trash (Gallery > Albums > Trash)
β Google Photos: Trash
β File Manager > Recent Deleted
β WhatsApp: angalia kwenye βMediaβ folder
β Download apps za recovery mapema β usisubiri zipotee

10. πΎ Simu haisomi memory card?
β Safisha memory card na slot
β Jaribu kwenye simu nyingine
β Kama inasoma β backup data na i-format (FAT32 format)
β Hakikisha ni original card β fake huleta matatizo sana

12. π Simu inajizima yenyewe kila mara
β Safisha storage
β Angalia kama kuna app mbovu imeingizwa (cracked apps)
β Fanya Factory Reset kama haijasaidia
β Kama bado β betri inaweza kuwa imechoka

@Huduma
π¨ Apple wamewaiga wachina namna wanavyovujisha simu zao mpya ambazo hazijatoka.
Wanaiingiza mtaani makusudi kwa kuifanyia majaribio na kuificha ficha kimkakati.

16. π WhatsApp yako hai-display jina la mtumaji kwenye notification?
β Nenda WhatsApp Settings > Notifications
β Hakikisha Show Preview imewashwa
β Pia settings za simu (notification settings) ziwe sawa

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Unadhani mistari myeupe nyuma ya ndege ni mafuta au kemikali? βοΈπ¨ Ukweli wake ni rahisi kuliko unavyofikiri β ni kama pumzi yako kwenye baridi kali!βοΈ Hebu tuchambue kinachoendelea angani... "