Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Tủ đựng quần áo trẻ em giấu tiền bí mật
13. 🧹 Simu inakuwa nzito sana (slow)?

Futa apps usizotumia
Zima animations: Developer Options > Window/Transition scale
Epuka live wallpapers
Restart simu mara kwa mara
Backup data zako na fanya factory reset kila miezi kadhaa


17. 📱 Unataka kujua simu yako ni ya soko gani (Global, China, India)?

Ingia kwenye imei.info
Andika IMEI yako (*#)
Utaona taarifa zote: region, brand, network bands
14. 🎧 Headphones zinaonesha zimeunganishwa wakati hakuna kitu?

Ingiza earphone halafu uitoe taratibu
Restart simu
Clear cache
Jaribu app kama Disable Headphones
15. 🔙 Namba zako za mawasiliano zimefutika?

Fungua app ya Contacts

> Chagua “Organize” au “Recycle Bin”
Rejesha namba zilizofutwa
Google Contacts > Trash
Sync Contacts na Gmail yako
11. 🔍 Ulipoteza picha au documents zako?

Angalia kwenye Trash (Gallery > Albums > Trash)
Google Photos: Trash
File Manager > Recent Deleted
WhatsApp: angalia kwenye “Media” folder
Download apps za recovery mapema – usisubiri zipotee
10. 💾 Simu haisomi memory card?

Safisha memory card na slot
Jaribu kwenye simu nyingine
Kama inasoma – backup data na i-format (FAT32 format)
Hakikisha ni original card – fake huleta matatizo sana
12. 🔁 Simu inajizima yenyewe kila mara

Safisha storage
Angalia kama kuna app mbovu imeingizwa (cracked apps)
Fanya Factory Reset kama haijasaidia
Kama bado – betri inaweza kuwa imechoka
@Huduma

💨 Apple wamewaiga wachina namna wanavyovujisha simu zao mpya ambazo hazijatoka.

Wanaiingiza mtaani makusudi kwa kuifanyia majaribio na kuificha ficha kimkakati.
16. 🔐 WhatsApp yako hai-display jina la mtumaji kwenye notification?

Nenda WhatsApp Settings > Notifications
Hakikisha Show Preview imewashwa
Pia settings za simu (notification settings) ziwe sawa
︎ Teknolojia

💨 Google Pixel 10 itazinduliwa tarehe 20 mwezi ujao.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unadhani mistari myeupe nyuma ya ndege ni mafuta au kemikali? ✈️😨 Ukweli wake ni rahisi kuliko unavyofikiri — ni kama pumzi yako kwenye baridi kali!❄️ Hebu tuchambue kinachoendelea angani... "
@Huduma

💨 Shot on Nothing Phone 3 📸