Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.35K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Nothing Phone kumbe sio wa kwanza!

Hii ni Xiaomi 8 Pro ya 2018 iko na back transparent cover.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wanasayansi wametuhakikishia uwepo wa Battery Kubwa Yenye uwezo wa Kukaa na Chaji kwa miaka zaidi ya 1000 γ‚š
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Tα»§ Δ‘α»±ng quαΊ§n Γ‘o trαΊ» em giαΊ₯u tiền bΓ­ mαΊ­t
13. 🧹 Simu inakuwa nzito sana (slow)?

βœ” Futa apps usizotumia
βœ” Zima animations: Developer Options > Window/Transition scale
βœ” Epuka live wallpapers
βœ” Restart simu mara kwa mara
βœ” Backup data zako na fanya factory reset kila miezi kadhaa
β€Œ

17. πŸ“± Unataka kujua simu yako ni ya soko gani (Global, China, India)?

βœ” Ingia kwenye imei.info
βœ” Andika IMEI yako (*#)
βœ” Utaona taarifa zote: region, brand, network bands
14. 🎧 Headphones zinaonesha zimeunganishwa wakati hakuna kitu?

βœ” Ingiza earphone halafu uitoe taratibu
βœ” Restart simu
βœ” Clear cache
βœ” Jaribu app kama Disable Headphones
15. πŸ”™ Namba zako za mawasiliano zimefutika?

βœ” Fungua app ya Contacts

> Chagua β€œOrganize” au β€œRecycle Bin”
Rejesha namba zilizofutwa
βœ” Google Contacts > Trash
βœ” Sync Contacts na Gmail yako
11. πŸ” Ulipoteza picha au documents zako?

βœ” Angalia kwenye Trash (Gallery > Albums > Trash)
βœ” Google Photos: Trash
βœ” File Manager > Recent Deleted
βœ” WhatsApp: angalia kwenye β€œMedia” folder
βœ” Download apps za recovery mapema – usisubiri zipotee
10. πŸ’Ύ Simu haisomi memory card?

βœ” Safisha memory card na slot
βœ” Jaribu kwenye simu nyingine
βœ” Kama inasoma – backup data na i-format (FAT32 format)
βœ” Hakikisha ni original card – fake huleta matatizo sana
12. πŸ” Simu inajizima yenyewe kila mara

βœ” Safisha storage
βœ” Angalia kama kuna app mbovu imeingizwa (cracked apps)
βœ” Fanya Factory Reset kama haijasaidia
βœ” Kama bado – betri inaweza kuwa imechoka
@Huduma

πŸ’¨ Apple wamewaiga wachina namna wanavyovujisha simu zao mpya ambazo hazijatoka.

Wanaiingiza mtaani makusudi kwa kuifanyia majaribio na kuificha ficha kimkakati.
16. πŸ” WhatsApp yako hai-display jina la mtumaji kwenye notification?

βœ” Nenda WhatsApp Settings > Notifications
βœ” Hakikisha Show Preview imewashwa
βœ” Pia settings za simu (notification settings) ziwe sawa
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Google Pixel 10 itazinduliwa tarehe 20 mwezi ujao.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unadhani mistari myeupe nyuma ya ndege ni mafuta au kemikali? ✈️😨 Ukweli wake ni rahisi kuliko unavyofikiri β€” ni kama pumzi yako kwenye baridi kali!❄️ Hebu tuchambue kinachoendelea angani... "