Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unadhani data zako zinaweza kurejeshwa kirahisi hata ukizifuta? 🤔 Ukweli ni kwamba si kila simu inaruhusu data recovery — hasa zile zenye encryption ya kisasa! 💣 Usalama wa simu za leo ni ngumu kuvunja! Angalia kwanini factory reset pekee haitoshi…”
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

How to change your Facebook account to professional mode.
︎ Teknolojia

💨 Nothing Phone kumbe sio wa kwanza!

Hii ni Xiaomi 8 Pro ya 2018 iko na back transparent cover.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wanasayansi wametuhakikishia uwepo wa Battery Kubwa Yenye uwezo wa Kukaa na Chaji kwa miaka zaidi ya 1000 ゚
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Tủ đựng quần áo trẻ em giấu tiền bí mật
13. 🧹 Simu inakuwa nzito sana (slow)?

Futa apps usizotumia
Zima animations: Developer Options > Window/Transition scale
Epuka live wallpapers
Restart simu mara kwa mara
Backup data zako na fanya factory reset kila miezi kadhaa


17. 📱 Unataka kujua simu yako ni ya soko gani (Global, China, India)?

Ingia kwenye imei.info
Andika IMEI yako (*#)
Utaona taarifa zote: region, brand, network bands
14. 🎧 Headphones zinaonesha zimeunganishwa wakati hakuna kitu?

Ingiza earphone halafu uitoe taratibu
Restart simu
Clear cache
Jaribu app kama Disable Headphones
15. 🔙 Namba zako za mawasiliano zimefutika?

Fungua app ya Contacts

> Chagua “Organize” au “Recycle Bin”
Rejesha namba zilizofutwa
Google Contacts > Trash
Sync Contacts na Gmail yako
11. 🔍 Ulipoteza picha au documents zako?

Angalia kwenye Trash (Gallery > Albums > Trash)
Google Photos: Trash
File Manager > Recent Deleted
WhatsApp: angalia kwenye “Media” folder
Download apps za recovery mapema – usisubiri zipotee
10. 💾 Simu haisomi memory card?

Safisha memory card na slot
Jaribu kwenye simu nyingine
Kama inasoma – backup data na i-format (FAT32 format)
Hakikisha ni original card – fake huleta matatizo sana
12. 🔁 Simu inajizima yenyewe kila mara

Safisha storage
Angalia kama kuna app mbovu imeingizwa (cracked apps)
Fanya Factory Reset kama haijasaidia
Kama bado – betri inaweza kuwa imechoka
@Huduma

💨 Apple wamewaiga wachina namna wanavyovujisha simu zao mpya ambazo hazijatoka.

Wanaiingiza mtaani makusudi kwa kuifanyia majaribio na kuificha ficha kimkakati.
16. 🔐 WhatsApp yako hai-display jina la mtumaji kwenye notification?

Nenda WhatsApp Settings > Notifications
Hakikisha Show Preview imewashwa
Pia settings za simu (notification settings) ziwe sawa
︎ Teknolojia

💨 Google Pixel 10 itazinduliwa tarehe 20 mwezi ujao.