Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Samsung S26 Ultra πŸ₯Ά
@Huduma

πŸ’¨ VIVO imeongoza kuuza simu nyingi zaidi India kwenye robo ya pili ya 2025

XIAOMI toka 2022 alianza kupotea sokoni wakatolewa No1 na SAMSUNG sasa wameshushwa hadi No4.

NB: Vivo, Oppo na Realme zote zipo chini ya BKK Company.
πŸ›‘οΈ 8. Jinsi ya kujikinga baada ya hapa
Kama hujapoteza picha zako leo, jifunze kabla hujalia kesho:

βœ… Washa Google Photos Backup

βœ… Copy picha zako kwenye external SD card au USB flash drive

βœ… Tumia Telegram kujitumia picha zako kwa usalama
πŸ”§ 7. Tumia Apps za Recovery (kwa Android)
App kama DiskDigger, EaseUS MobiSaver, au Dr.Fone huweza ku-recover picha hata baada ya kufutwa kabisa.
➑️ Tumia search (kwa jina, mahali, tarehe nk).

➑️ Ukiziona, unaweza kuzidownload moja kwa moja.

NB: Backup inafanya kazi tu kama uliwahi kuiwasha.
Hapa unaweza kukuta picha nyingi ndogo (low res), lakini bora kuliko kupoteza zote.

NB: Hakikisha ume-ON "Show hidden files".
⚠️ Lakini:
➑️ Inafanya kazi vizuri kama bado hujatumia sana simu tangu ulipofuta.
➑️ Root access inaweza kuhitajika kwa recovery ya kina.
πŸ”’ Samsung:
➑️ Gallery > Menu (3 dots) > Settings
➑️ Washa "Show hidden albums"
πŸ“ 3. Check kwenye .thumbnails folder (Android)
Hata baada ya kufuta picha, Android huihifadhi version yake kwenye .thumbnails folder.

➑️ Fungua File Manager
➑️ Nenda: Internal Storage > DCIM > .thumbnails
πŸ”„ 6. Cloud Storage nyingine
Je, uliwahi kutumia Dropbox, OneDrive, au Telegram?

➑️ Nenda kwenye apps hizo.
➑️ Angalia "Media" au "Saved" sections.
➑️ Kuna uwezekano picha zako zipo humo.

Telegram hasa huokoa media zote unazojitumia au kudownload kutoka group.
πŸ—‚οΈ 5. Hidden Albums (iPhone & Android)
Picha zingine huenda umeziweka β€œhidden” kwa bahati mbaya.

πŸ”’ iPhone:
➑️ Photos > Albums > Hidden (chini kabisa)
➑️ Unahitaji Face ID/Passcode ili kuingia.