Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.46K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🟢 Tips za kujiokoa siku zijazo:

1. Weka backup daily.

2. Tumia WiFi ili backup ifanyike bila kukula data zako.

3. Hakikisha Google Drive/iCloud ina storage ya kutosha.
Badilisha jina la faili ya tarehe unayotaka kuwa msgstore.db.crypt14

Uninstall WhatsApp > reinstall > restore.
Tafuta sehemu ya “WhatsApp backups” ili uthibitishe kama kuna backup ya karibuni.
Note: – Backup hurekodiwa kila siku au kila wiki kulingana na settings zako. – Ukiwa huja-backup kwa muda mrefu, chats za karibuni zinaweza kupotea.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Simu haijui lugha ya kibinadamu, lakini mbona ukiandika "A" kwenye keyboard inaandika herufi hiyo hiyo kwenye kioo? Jibu litakushangaza — yote ni ujanja wa namba na binary!
︎ Teknolojia

💨 Samsung S26 Ultra 🥶
@Huduma

💨 VIVO imeongoza kuuza simu nyingi zaidi India kwenye robo ya pili ya 2025

XIAOMI toka 2022 alianza kupotea sokoni wakatolewa No1 na SAMSUNG sasa wameshushwa hadi No4.

NB: Vivo, Oppo na Realme zote zipo chini ya BKK Company.
🛡️ 8. Jinsi ya kujikinga baada ya hapa
Kama hujapoteza picha zako leo, jifunze kabla hujalia kesho:

Washa Google Photos Backup

Copy picha zako kwenye external SD card au USB flash drive

Tumia Telegram kujitumia picha zako kwa usalama
🔧 7. Tumia Apps za Recovery (kwa Android)
App kama DiskDigger, EaseUS MobiSaver, au Dr.Fone huweza ku-recover picha hata baada ya kufutwa kabisa.