Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.46K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Hakikisha unawasha auto-backup ya Google Contacts

Usihifadhi contacts kwenye SIM – ni rahisi kufutika

Tumia apps kama MCBackup au Super Backup kwa backup ya haraka


6. Angalia kwenye Trash ya Google Contacts
(Njia bora kabisa)

Google Contacts huweka namba zote ulizofuta kwa makusudi kwenye Trash (takataka) kwa siku 30 kabla hazijafutwa kabisa.

➡️ Fungua contacts.google.com kwenye browser
➡️ Gusa "Organize" upande wa kushoto
3. Angalia SIM Card Yako

Huenda baadhi ya namba zilikuwa zimehifadhiwa kwenye SIM.

➡️ Fungua Contacts app
➡️ Nenda Settings > Display preferences > SIM card only
➡️ Angalia kama kuna namba zilizofichwa
4. Tumia Apps za Recovery (Kama Huna Backup)

Unaweza kutumia apps kama:

Dr.Fone by Wondershare

Tenorshare UltData for Android

iMobie PhoneRescue (kwa iPhone)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Simu yako ina GB 128 ndani na 128 kwenye memory card? Usidanganyike, si sawa kabisa! ⚠️ Tofauti ni kubwa kwenye speed na performance.
︎ Teknolojia

💨Kuanzia mwezi huu wa saba hadi wa kumi tutarajie kuwepo wa simu mpya nyingi sana sokoni.

Realme pia wametangaza uzinduzi wa Realme GT 8 na GT 8 pro zitazinduliwa ndani ya mwezi wa 10.

👇👇
🟡 3. Je, unaweza kurejesha backup ya zamani (local)?

Kwa Android:

Nenda kwenye File Manager > WhatsApp > Databases

Utakuta mafaili ya siku kadhaa yakiwa na majina kama msgstore-YYYY-MM-DD.db.crypt14
iPhone:

> WhatsApp > Settings > Chats > Chat Backup > Auto Backup > Daily
🟢 2. Reinstall WhatsApp:

Pakua WhatsApp tena kwenye simu yako.

Ingia kwa namba ileile uliyokuwa unatumia awali.
Android:

> WhatsApp > Settings > Chats > Chat backup > Back up to Google Drive
Vipi kama backup haipo?
Pole, lakini chats zako haziwezi kurudi bila backup.

Hapo ni muhimu uanze ku-activate backup settings:
Baada ya verification, WhatsApp itakuuliza kama unataka kurestore backup.

Kubali kwa kubonyeza “Restore” na subiri.
🟢 Tips za kujiokoa siku zijazo:

1. Weka backup daily.

2. Tumia WiFi ili backup ifanyike bila kukula data zako.

3. Hakikisha Google Drive/iCloud ina storage ya kutosha.
Badilisha jina la faili ya tarehe unayotaka kuwa msgstore.db.crypt14

Uninstall WhatsApp > reinstall > restore.
Tafuta sehemu ya “WhatsApp backups” ili uthibitishe kama kuna backup ya karibuni.
Note: – Backup hurekodiwa kila siku au kila wiki kulingana na settings zako. – Ukiwa huja-backup kwa muda mrefu, chats za karibuni zinaweza kupotea.