Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.5K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
9. Ukiona “Other files” kwenye storage yako zina 5GB+ — jua kuna cache, logs, na OTA updates zimejificha humo.

🎯 Zifuatilie. Zisafishe. Linda performance ya simu yako.
4. Matokeo ya hali hii?
🔻 Simu inakuwa slow

🔻 Inashindwa kupokea updates

🔻 Kamera inashindwa kupiga picha

🔻 Apps zinagoma kufunguka
7. BONUS: Jinsi ya kuzuia storage kujaa mara kwa mara:
🔹 Badilisha settings za WhatsApp auto-download
🔹 Clear cache ya TikTok, YouTube, IG weekly
🔹 Usiruhusu apps zisizotumika kukaa idle kwa miezi
🔹 Tumia app ya Storage Analyzer ku-track folders zenye mzigo mkubwa
3. Mfano kwenye simu ya kawaida ya Android (storage breakdown):
📱 TikTok cache – 1.5GB
📱 WhatsApp hidden media – 800MB
📱 .thumbnails – 600MB
📱 Logs za mfumo – 1GB
📱 App update backups – 500MB
🟰 Zaidi ya 4.5GB umejaa kimyakimya!
6. Tahadhari kubwa ⚠️
⚠️ Usifute mafaili kwenye /Android/data/ au system folders bila kuelewa maana yake.
⚠️ Ukifuta OTA packages vibaya – unaweza kuvuruga updates zako.
90% ya watumiaji Android hawajui hizi hidden files zipo.
👉 Ndiyo maana storage hujaa na hawajui nini cha kufanya – wanaishia kufomati tu!
Kumbuka:
🧹 Kusafisha cache si kosa – ni njia ya kuongeza maisha ya simu yako.
🛠️ Usitumie apps za usafishaji hovyo hovyo – zingine huiba data au kuweka ads.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hakikisha Hizi settings umezifanya ili uweze kuitrack sim yako ikiibiwa
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi Mi 11 lite 5G 128GB - 380K tu

📍KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨iPhone 17 pro max rangi ya dark blue na Orange 🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.2m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

CGJ2J39UELG Imethibitishwa UMEUSTUA MOYO WANGU Tarehe 19/7/25 saa 2:18 PM. Salio langu jipya ni UPENDO WA DHATI KWAKO.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 DuckDuckGo imeweka sehemu mpya ya kuficha picha zilizotengenezwa na AI kwenye matokeo ya utafutaji. https://twitter.com/DuckDuckGo/status/1944766326381089118#m
︎ Teknolojia

💨 Dada ukikutana na kijana anatumia simu kama hii ujue;-

Ni muaminifu, hadanganyi, anapenda kusikiliza, ukimkosea hakupigi anakuelekeza kwa upole, anakufundisha mambo mapya,

Sio tajiri ila anaweza kukufanya ujihisi uko peponi.
5. Usinunue simu kwa jina au brand — nunua kulingana na thamani.

Simu nyingi zenye jina zina gharama ya jina tu, lakini performance iko sawa na simu nyingine nusu bei yake.
▪️Nahitaji 5G au 4G inanitosha?

▪️Naweza kutumia simu hii kwa miaka mingapi?
3. Gawa bajeti yako katika makundi haya:

🔹 <250,000 TZS → Basic communication (calls, SMS, WhatsApp).

🔹 250K–500K → Kwa wanaotaka apps za kawaida + kamera ya wastani.
Simu nzuri ni ile inayokidhi mahitaji yako, si ile inayowashangaza watu kwenye meza ya kahawa.