Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.42K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

πŸ’¨ Hii jezi ilikuwa inasifiwaga ni kali 😁
βœ… Tumia apps salama kama CCleaner au SD Maid
βœ… Futa OTA residues: Settings > About > Software updates > Storage cleanup
Kama storage yako iko chini ya 10% – simu yako inaweza kuwa slow kwa hadi 30%.
5. Njia za kufuta hii hidden data (bila kufomati simu):
βœ… Tumia Files by Google β†’ nenda Clean
βœ… Nenda Settings > Storage > Apps > Clear cache manually
βœ… Tafuta na futa folder .thumbnails
9. Ukiona β€œOther files” kwenye storage yako zina 5GB+ β€” jua kuna cache, logs, na OTA updates zimejificha humo.

🎯 Zifuatilie. Zisafishe. Linda performance ya simu yako.
4. Matokeo ya hali hii?
πŸ”» Simu inakuwa slow

πŸ”» Inashindwa kupokea updates

πŸ”» Kamera inashindwa kupiga picha

πŸ”» Apps zinagoma kufunguka
7. BONUS: Jinsi ya kuzuia storage kujaa mara kwa mara:
πŸ”Ή Badilisha settings za WhatsApp auto-download
πŸ”Ή Clear cache ya TikTok, YouTube, IG weekly
πŸ”Ή Usiruhusu apps zisizotumika kukaa idle kwa miezi
πŸ”Ή Tumia app ya Storage Analyzer ku-track folders zenye mzigo mkubwa
3. Mfano kwenye simu ya kawaida ya Android (storage breakdown):
πŸ“± TikTok cache – 1.5GB
πŸ“± WhatsApp hidden media – 800MB
πŸ“± .thumbnails – 600MB
πŸ“± Logs za mfumo – 1GB
πŸ“± App update backups – 500MB
🟰 Zaidi ya 4.5GB umejaa kimyakimya!
6. Tahadhari kubwa ⚠️
⚠️ Usifute mafaili kwenye /Android/data/ au system folders bila kuelewa maana yake.
⚠️ Ukifuta OTA packages vibaya – unaweza kuvuruga updates zako.
90% ya watumiaji Android hawajui hizi hidden files zipo.
πŸ‘‰ Ndiyo maana storage hujaa na hawajui nini cha kufanya – wanaishia kufomati tu!
Kumbuka:
🧹 Kusafisha cache si kosa – ni njia ya kuongeza maisha ya simu yako.
πŸ› οΈ Usitumie apps za usafishaji hovyo hovyo – zingine huiba data au kuweka ads.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Hakikisha Hizi settings umezifanya ili uweze kuitrack sim yako ikiibiwa
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Xiaomi Mi 11 lite 5G 128GB - 380K tu

πŸ“KKKT Kariakoo
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨iPhone 17 pro max rangi ya dark blue na Orange πŸ”₯πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ NOTHING PHONE (Non Active)

β–ͺ️CMF Phone1 (8+256) - 850K
β–ͺ️Phone2a (8+256) - 1.2m
β–ͺ️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
β–ͺ️Phone 2 (12+256) - 1.58m
β–ͺ️Phone 2 (12+512) - 1.75m
β–ͺ️Phone 3a (12+256) - 1.25M
β–ͺ️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

CGJ2J39UELG Imethibitishwa UMEUSTUA MOYO WANGU Tarehe 19/7/25 saa 2:18 PM. Salio langu jipya ni UPENDO WA DHATI KWAKO.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ†• DuckDuckGo imeweka sehemu mpya ya kuficha picha zilizotengenezwa na AI kwenye matokeo ya utafutaji. https://twitter.com/DuckDuckGo/status/1944766326381089118#m