β
3. π Serial Number check
Chukua serial number chini ya lid au kwenye earbud β ingiza hapa: checkcoverage.apple.com
Ukiambiwa invalid, hiyo ni feki.

Apple
Check Your Service and Support Coverage - Apple Support
Check your Apple warranty status. Enter a serial number to review your eligibility for support and extended coverage.
Kumbuka: Soko lina feki zenye uwezo wa kuigiza kila kitu β lakini Appleβs serial number check na build quality ni silaha kuu zako.
γ½οΈ Teknolojia
π¨iPhone wametoa list ya rangi za iPhone 17 series.
Kwa wale wanaotaka kujua hizi simu zinafananaje kwa muonekano
Kwa iphone 17 plain kaangalieni tecno pop 10
17 air mkaangalie tecno spark slim ( wametofautiana kidogo sana)
Na iPhone 17pro mkaangalie tecno spark 40.

π¨ Kwa Tanzania hazipandishi hata Oppo/Oneplus zilikuwa hivyo ila wao kwasababu wana service center zao hapa TZ watu walikuwa wanazipeleka simu zao pale kuna file zinaongezewa na kupanda 5G.

π¨ Redmi 14C π₯
Redmi 14C Specifications
βͺοΈ Camera: 50MP
βͺοΈ Storage: 128GB/256GB
βͺοΈ RAM: 4GB
βͺοΈ Battery Capacity: 5000mAh π
π₯ Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000
π Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
π Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
π 0745100757
wa.me/+255745100757
π¨ Redmi 14C π₯
Redmi 14C Specifications
βͺοΈ Camera: 50MP
βͺοΈ Storage: 128GB/256GB
βͺοΈ RAM: 4GB
βͺοΈ Battery Capacity: 5000mAh π
π₯ Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000
π Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
π Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
π 0745100757
wa.me/+255745100757
π Na Case yenyewe pia inakula chaji β hata ikiwa haina AirPods ndani
Chip ya kudetect kufungua/kufunga inakula nguvu.

π₯ Sababu zingine zinazochangia:
Dirty connectors: AirPods hazi-recharge vizuri ndani ya case.
Firmware bugs: Watu wengi waliripoti hili baada ya iOS/macOS updates.

Hakikisha unatumia original firmware & case halisi.
Recharge mara kwa mara hata kama huzitumii β usiziache hadi zife kabisa.

Hili tatizo linaitwa passive battery drain β ambapo betri inaisha polepole hata bila kutumia kifaa.
Fake AirPods: Passive drain ni kubwa zaidi kwenye clones na zile za quality ya chini.
. β
Chanzo cha tatizo?
AirPods zako zinakuwa kama zipo hai hata unazodhani zimezimwa.
Kuna baadhi ya components huwa zinaendelea kufanya kazi nyuma ya pazia:

π Pro Tip:
Unaweza kutumia app ya AirBattery (Android) au Battery Widget (iOS) kufuatilia tabia ya betri za AirPods kwa undani.

MagSafe/Circuit ya ku-detect earphones kila sekunde chache huendelea bila kukoma.
Baadhi ya cases zina firmware bugs zinazosababisha battery kujimimina kimyakimya.

π§ Suluhisho ni nini?
Safisha charging points mara kwa mara.
Hakikisha AirPods zimekaa vizuri kwenye case.
Zima Bluetooth ikiwa hutumii kwa muda mrefu.
Safisha charging points mara kwa mara.
Hakikisha AirPods zimekaa vizuri kwenye case.
Zima Bluetooth ikiwa hutumii kwa muda mrefu.
Kuna baadhi ya components huwa zinaendelea kufanya kazi nyuma ya pazia:
Bluetooth chip π¦
Proximity sensors π‘
Motion sensors π
Background sync na iCloud (kama uko kwenye Apple ecosystem) βοΈ