Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
7. ⚙️ Find My App & Settings

AirPods original huonekana kwenye app ya Find My (ikiwa imeunganishwa).

Pia unaweza kuzikontrol kwenye Bluetooth settings – mfano rename, ANC, mic control.

Feki hazina hizi options.
Kumbuka: Soko lina feki zenye uwezo wa kuigiza kila kitu – lakini Apple’s serial number check na build quality ni silaha kuu zako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kama unajua hii ni simu gani tuambie kwenye comments mwanakitaa...
︎ Teknolojia

💨iPhone wametoa list ya rangi za iPhone 17 series.
Kwa wale wanaotaka kujua hizi simu zinafananaje kwa muonekano
Kwa iphone 17 plain kaangalieni tecno pop 10
17 air mkaangalie tecno spark slim ( wametofautiana kidogo sana)
Na iPhone 17pro mkaangalie tecno spark 40.
︎ Teknolojia

💨Hata mimi nimeshtuka kumbe ni cover za nothing phone 3
︎ Teknolojia

💨 Kwa Tanzania hazipandishi hata Oppo/Oneplus zilikuwa hivyo ila wao kwasababu wana service center zao hapa TZ watu walikuwa wanazipeleka simu zao pale kuna file zinaongezewa na kupanda 5G.
︎ Teknolojia

💨 Redmi 14C 💥

Redmi 14C Specifications
▪️ Camera: 50MP
▪️ Storage: 128GB/256GB
▪️ RAM: 4GB
▪️ Battery Capacity: 5000mAh 👇

💥 Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000

📍 Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
📍 Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🔋 Na Case yenyewe pia inakula chaji – hata ikiwa haina AirPods ndani

Chip ya kudetect kufungua/kufunga inakula nguvu.
💥 Sababu zingine zinazochangia:

Dirty connectors: AirPods hazi-recharge vizuri ndani ya case.

Firmware bugs: Watu wengi waliripoti hili baada ya iOS/macOS updates.
Hakikisha unatumia original firmware & case halisi.

Recharge mara kwa mara hata kama huzitumii – usiziache hadi zife kabisa.
Hili tatizo linaitwa passive battery drain — ambapo betri inaisha polepole hata bila kutumia kifaa.
Fake AirPods: Passive drain ni kubwa zaidi kwenye clones na zile za quality ya chini.
. Chanzo cha tatizo?

AirPods zako zinakuwa kama zipo hai hata unazodhani zimezimwa.

Kuna baadhi ya components huwa zinaendelea kufanya kazi nyuma ya pazia:
🔍 Pro Tip:
Unaweza kutumia app ya AirBattery (Android) au Battery Widget (iOS) kufuatilia tabia ya betri za AirPods kwa undani.
MagSafe/Circuit ya ku-detect earphones kila sekunde chache huendelea bila kukoma.

Baadhi ya cases zina firmware bugs zinazosababisha battery kujimimina kimyakimya.
🧠 Suluhisho ni nini?

Safisha charging points mara kwa mara.

Hakikisha AirPods zimekaa vizuri kwenye case.

Zima Bluetooth ikiwa hutumii kwa muda mrefu.