Teknolojia
134 subscribers
3.84K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Namna ya kutumia camera zote za simu yako pt4 πŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Asante kwa kutuamini
@NjiwaFLow
@Njiwa_Store
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Baba na Mama Yamal waliachanaga ona namna walivyo na furaha kuyaishi pamoja maisha ya mtoto wao.
5. 🦻 Sound & Mic Quality

Original zina bass safi, ANC (Active Noise Cancelling), Transparency mode, na mic ya kiwango cha juu.

Feki hazina ANC halisi, na sauti huwa ndogo au chafu.
2. πŸ“± iPhone popup detection

Ukifungua box na kufungua lid karibu na iPhone, original AirPods huonesha animated popup yenye jina na charge.

Feki hazifanyi hivyo au hutoa popup isiyo sahihi.
Feki mara nyingi box linakosea fonts, picha au linaloonekana β€˜cheap’.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨NJIA SABA (7) ZA KUTAMBUA AIRPODS ORIGINAL NA FAKE.

ShukaπŸ§΅πŸ§΅πŸ‘‡

Usisahau repost πŸ”„

1. πŸ“¦ Kifurushi (Packaging)

AirPods original huja na box lenye maandishi yaliyopangwa kwa usahihi, laini ya sealing haijafunguliwa.
4. 🎧 Build Quality

Original: plastiki ni laini, joints hazionekani, hakuna kelele ukiitikisa.

Feki mara nyingi zina plastiki nyepesi, gaps, na huweza kutoa sauti ukiitikisa.
6. πŸ“Ά Bluetooth Behavior

Original zina fast pairing na zinatumia Apple’s H1 chip (kwa baadhi ya toleo).

Feki huchukua muda, mara nyingine hujionyesha kama β€œTWS_...” badala ya AirPods [your name].
AirPods Pro original zina mesh (kitundu kidogo cha mic juu), lakini feki mara nyingi haina au si sahihi.
7. βš™οΈ Find My App & Settings

AirPods original huonekana kwenye app ya Find My (ikiwa imeunganishwa).

Pia unaweza kuzikontrol kwenye Bluetooth settings – mfano rename, ANC, mic control.

Feki hazina hizi options.
β€Œ

3. πŸ” Serial Number check

Chukua serial number chini ya lid au kwenye earbud β†’ ingiza hapa: checkcoverage.apple.com

Ukiambiwa invalid, hiyo ni feki.
Kumbuka: Soko lina feki zenye uwezo wa kuigiza kila kitu – lakini Apple’s serial number check na build quality ni silaha kuu zako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Kama unajua hii ni simu gani tuambie kwenye comments mwanakitaa...
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨iPhone wametoa list ya rangi za iPhone 17 series.
Kwa wale wanaotaka kujua hizi simu zinafananaje kwa muonekano
Kwa iphone 17 plain kaangalieni tecno pop 10
17 air mkaangalie tecno spark slim ( wametofautiana kidogo sana)
Na iPhone 17pro mkaangalie tecno spark 40.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hata mimi nimeshtuka kumbe ni cover za nothing phone 3
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Kwa Tanzania hazipandishi hata Oppo/Oneplus zilikuwa hivyo ila wao kwasababu wana service center zao hapa TZ watu walikuwa wanazipeleka simu zao pale kuna file zinaongezewa na kupanda 5G.